maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kihongosi awakaribisha Lissu na Heche wajitokeze kujadili maridhiano.

    Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo? Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza. Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?. Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  3. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Serikali inayaendea maridhiano kwa maslahi ya Taifa? Kauli za viongozi kuhusu maridhiano zinabeba dhamira ipi?

    Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa. Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini mwenyewe alisema ahadi yake ya kuunda tume ya maaridhiano itasubiri kwanza Tume aliyoiunda ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchange: Sisi tunajua Lissu alifanya makosa, ndio maana familia ya Lissu iko tayari kufanya maridhiano

    "Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo" Habibu Mchange
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CCM kusuka au kunyoa kwenye maridhiano

    Wakati Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu ikiendelea kukamilisha kazi yake ya miezi mitatu, picha inayojionyesha kwa sasa, CCM ina machaguo mawili tu, ama kuiendesha nchi kidikteta au kukubali kuachilia mabavu yake na kuwapa nafasi wapinzani. Kuna kila dalili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wasira: Maridhiano ni lazima bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

    Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote. Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano. Soma mwenyewe hapa chini. "Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA imekiri kwamba wapo tayari kwa maridhiano yatakayo fanyika.

    Mkuu wa Idara ya habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Gervas Lyenda ni amesema Chama chake kipo tayari kushiriki kwenye mchakato wa maridhiano ili kuhakikisha Tanzania inakuwa na amani na utulivu wa kisiasa wa kudumu. Lyenda amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Crown Media acheni kuilisha maneno Chadema kuhusu maridhiano

    https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tukatate timu siyo tume ya Samia ya malazimishano na maridhishano yaitwayo maridhiano

    Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yanatafutwa maridhiano kati ya nani nani? Nani alidhulumiwa haki zake?

    Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
  15. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Maridhiano ya funika kombe tunayakataa, hatutatumika

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza kwenye...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

    https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je, nani aweza kumuamini muongo?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kutoshiriki kinachoitwa "maridhiano" ni aidha unapotoshwa makusudi au ni hawa wajiitao wachambuzi uchwara kutoelewa maudhui yake

    Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya mjadala mpana ============================================= "Taarifa yako ni potofu, unawapotosha...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

    Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff]. Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  20. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA haiko tayari kwa Maridhiano

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania. Akiongea leo January 03,2026...
Back
Top Bottom