Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,829
141,744
Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023

Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha

Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi asiachie uenyekiti hadi 2030

Mbarikiwe sana
 
Mkuu
Mbowe YUPO updated na backdated!
Anajua fika upepo wa 2026 hautakiacha Chadema kama chama kikuu cha UPINZANI bungeni!
Anajua kuna chama kimeandaliwa kuiua Chadema na ccm na kinasubiria usajili !
Anajua fika 2026 sio chadema wala ccm watakuwa na mvuto bali chama kipya kitakacho zaliwa!
Ndio màana jana amekataza makamanda kutukana viongozi wa upinzani kea chama chake akitoa angalizo!!
Wenye NCHI watakuwa wameshammpongeza kea kazi kubwa aliyofanya Hadi Sasa na kumwambia muda wa chama kipya kingine kushika nchi umefika na sio chadema wala CCM na Mbowe anajua!!!
Ameshaaambiwa Mwisho wa CHADEMA na CCM kuwa vyama vikubwa hasimu nchini umekwisha Sasa!!!
Tujiandae na Tanzania mpya isiyo na Chadema na CCM kama vyama vya SIASA vikubwa NCHINI!!
TUSUBIRI katiba ipatikane 2026 Ndio tufanye uchaguzi mkuu wa katiba Mpya!
Mbowe atastaafu 2023!

Asante!!
 
Unaota ukiwa wapi?
 
Mbowe ataondoka uenyekiti baada ya Tanzania kuwa truly democratic, short of that litakuja jitu Kama Jiwe na kuiua Chadema. Had it not been for the brevity of Mbowe, Chedema could have been a past history today
 
Kama unadhani mwamba kuja na vugu vugu la kudai katiba mpya Hadi akawekwa lupango ni utashi wake Binafsi unajidanganya!hiyo ni move ya Wenye NCHI!!
TUSUBIRI!

Hao watanzania wenyewe wa kuwaletea vyama vya mchongo wako wapi? Sioni watanzania wakiendelea kujitokeza kupiga kura kwa ukhanithi unaoendelea kwenye box la kura. Labda wapiga kura mtawapata washamba wachache.
 
Katiba Mpya itapatikana
Na Hayo yote yataisha
Hakuna uchaguzi Mwingine tena kabla ya katiba Mpya kupatikana!!
2020 ndio kilele cha uchaguzi KWA katiba ya zamani!!!
 
ili mtu akutapeli lazima kwanza akuzidi ama akili, maarifa au uzoefu katika hilo analokutapelia

kama umeshindwa kumheshimu kwa Umri wake, mheshimu kwa wale wanaomheshimu

kama umeshindwa basi mheshimu kwa vipaji vyake vilivokufanya umuone Tapeli
Bora asitaafu tu ,tapeli mkubwa
 
Mkuu
Mbowe YUPO updated na backdated!
Anajua fika upepo wa 2026 hautakiacha Chadema kama chama kikuu cha UPINZANI bungeni!
Anajua kuna chama kimeandaliwa kuiua Chadema na ccm na kinasubiria usajili !
Anajua fika 2026 sio chadema wala ccm watakuwa na mvuto bali chama kipya kitakacho zaliwa!
Ndio màana jana amekataza makamanda kutukana viongozi wa upinzani kea chama chake akitoa angalizo!!
Wenye NCHI watakuwa wameshammpongeza kea kazi kubwa aliyofanya Hadi Sasa na kumwambia muda wa chama kipya kingine kushika nchi umefika na sio chadema wala CCM na Mbowe anajua!!!
Ameshaaambiwa Mwisho wa CHADEMA na CCM kuwa vyama vikubwa hasimu nchini umekwisha Sasa!!!
Tujiandae na Tanzania mpya isiyo na Chadema na CCM kama vyama vya SIASA vikubwa NCHINI!!
TUSUBIRI katiba ipatikane 2026 Ndio tufanye uchaguzi mkuu wa katiba Mpya!
Mbowe atastaafu 2023!

Asante!!
Eti Rais ajaye. Wewe ni zito nini au miguu chemba?. Kuna watu kama watu kichwani mna pumba
 
kama ulisikiliza vyema na neno kwa neno kwny Hotuba ya Mh.Mbowe utagundua yafuatayo

1) Kuzuia matusi na kejeli kwa Siasa za ACT maana yake kishanusa Katiba mpya itatanguliwa na Tume huru ya Uchaguzi na huenda kishakubaliana na dola na kazi iliyobaki ni namna ya kuwaanda Chadema kisaikolojia

2) kusema Katiba mpya 'itaenda sambamba' na Katiba mpya badala ya misemo yao kuwa Katiba mpya stanza nimenusa kuwa tayari kun makubaliano

3) Mh.Mbowe pia kagusia kuwa 'wakati wenzetu wanashughulika na mabadiliko ya sheria mbalimbali' tusiwabeze nikajua kuna namna

4) muda mchache kabla ya hotuba hiyo Ndugu Zitto akapost kijembe 'usigombane na Mtu kwa jambo utakalokuja kukubaliana nae baadae'

5) Ule msisitizo wa kutaka ACT wasitukanwe kwa kuwa na mawazo tofauti na Chadema imenifikirisha sana
Mkuu
Katiba Mpya itapatikana
Na Hayo yote yataisha
Hakuna uchaguzi Mwingine tena kabla ya katiba Mpya kupatikana!!
2020 ndio kilele cha uchaguzi KWA katiba ya zamani!!!
 
Malyenge kasema atajiuzuru aende wapi?
Ndio maana anafukuza hao bawacha ili asema waliobaki hawana hadhi
 
Mkuu
Mbowe YUPO updated na backdated!
Anajua fika upepo wa 2026 hautakiacha Chadema kama chama kikuu cha UPINZANI bungeni!
Anajua kuna chama kimeandaliwa kuiua Chadema na ccm na kinasubiria usajili !
Anajua fika 2026 sio chadema wala ccm watakuwa na mvuto bali chama kipya kitakacho zaliwa!
Ndio màana jana amekataza makamanda kutukana viongozi wa upinzani kea chama chake akitoa angalizo!!
Wenye NCHI watakuwa wameshammpongeza kea kazi kubwa aliyofanya Hadi Sasa na kumwambia muda wa chama kipya kingine kushika nchi umefika na sio chadema wala CCM na Mbowe anajua!!!
Ameshaaambiwa Mwisho wa CHADEMA na CCM kuwa vyama vikubwa hasimu nchini umekwisha Sasa!!!
Tujiandae na Tanzania mpya isiyo na Chadema na CCM kama vyama vya SIASA vikubwa NCHINI!!
TUSUBIRI katiba ipatikane 2026 Ndio tufanye uchaguzi mkuu wa katiba Mpya!
Mbowe atastaafu 2023!

Asante!!
Wanachama wa chama kipya na viongozi wao ni Hawa Hawa wa kutoka CCM na CHADEMA?
Kama jibu ni ndio basi CCM na CHADEMA bado wapo Sana.
Endelea kutamani iwe hivyo ila haitatokea . Lengo la katiba mpya wenye nchi wamejifunza jinsi matumizi mabaya ya madaraka Kwa ngazi ya juu yanavyoathiri nchi, na wamejua kutokana na muamko mkubwa wa siasa Kwa wananchi utapelekea makubwa zaidi kama mambo yakiendelea hivi na wenyenchi wanajua miiko ya nchi .
Wenyenchi kama unavyowaita wakitaka mtu wait anapitia humo CCM na CHADEMA as a backup.
 
Back
Top Bottom