maria sarungi

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi kinachofanya Maria Sarungi na Fatma Karume wawe wanaharakati namna ile ni nini?

    Kwanza kabisa napenda kazi ya hawa watu. Tungekuwa na watu kumi kama hawa nchi ingekuwa inaenda kwenye mtaari mnyoofu kabisa na kufuata sheria. Swali najiuliza nini kipo ndani yao kinawafanya wawe wanaharakati wajasiri namna ile? Je, ni elimu waliyo pata. Kuna elimu mtu unapata inakufanya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

    Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

    Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan Kuna haja gani kusisitiza maana sisi...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

    Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani. Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

    Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni. Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

    Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii. Juzi Waziri Mkuu alishangazwa na watu kukosa uzalendo na utu kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mungu akulipe kheri nyingi Mwanadada Maria Sarungi

    Mwanadada Maria, umeendelea kwa juhudi kubwa kuutahadharisha umma uchukue tahadhari juu ya ugonjwa wa Korona. Tangu miezi kadhaa nyuma ambapo serikali ya awamu ya tano ilikuwa ikiutangazia ulimwengu kuwa nchini hakuna Korona, hukuchoka kuutahadharisha umma ujikinge maana kiukweli Korona nchini...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je, kuna udhibiti wowote wa biashara za mtandaoni?

    Habari wakuu, Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi achukue? Je, kuna udhibiti wowote juu ya biashara hizi? Kama mnunuzi anataka amuwajibishe huyu muuzaji...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania LOOK ALIKE CHALLENGE: Maria Sarungi Vs Bernardine Evaristo

    Bernardine Evaristo ni nani? ===== Bernardine Anne Mobolaji Evaristo, OBE, FRSL, FRSA, FEA (born 1959), is a British author. Her eighth book, the novel, Girl, Woman, Other, won the Booker Prize in 2019, making her the first black woman and the first black British person to win it. In 2020 she...
  10. huskryderz

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

    Wanaharakati ! kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini! Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa! Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT-Wazalenda, wapeni Shangazi Fatuma Karume na Maria Sarungi Viti Maalum

    Si vema kuwaacha hawa katika mapambano haya. Wapeni Viti Maalum waingie Bungeni. I guess you will appreciate the contribution they are going to make in the house!
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii. TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

    JIUNGE NAMI KUSEMA HAPANA KWA UDHALILISHAJI NA UBAGUZI ANAOUFANYA MMLIKI WA CLOCK TOWER CAFÉ IRINGA. #SAYNOTOCLOCKTOWERCAFEIRINGAMISTREATMENTOFCLIENTS# Nimekuwa mteja wa mgahawa wa Clock Tower Café uliopo barabara ya Dodoma/Uhuru Avenue katika Manispaa ya Iringa tangu uanzishwe mwaka jana...
  16. lovehawa

    JamiiForums Tanzania natafuta ajira

    Habari ya humu jamani mimi ni mgeni wa jamiiforms...shida yangu nina mdogo wangu kasomea records management cerficate anatafuta kazi....samahanini kwa usumbufu
  17. C

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni nani?

    Jamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake. Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process?
Back
Top Bottom