marekani

  1. JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

    Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza. Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
  3. JamiiForums Tanzania Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  5. JamiiForums Tanzania Bomu lililorushwa kwenye hospitali ya Gaza lilmetengenezwa Marekani ni MK-84

    Wanaukumbi. The American Wall Street Journal: “The bomb that was dropped on Baptist Hospital was an American MK-84,” which can only be deployed by a plane that hamas dont have any. Gaza's health ministry spokesman said an Israeli air strike on Tuesday killed hundreds of people at a hospital in...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yaipiga chenga Iran, yakiuka makubaliano

    Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa. Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) , Mali ya Iran ambazo marekani ilizizuia kutokana na vikwazo vyake kwa taifa Hilo kwa ajili ya matumizi...
  7. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!. Ninawafahamu jamaa...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN — The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa . Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
  10. JamiiForums Tanzania Marekani inafanya uharibifu mwingine Afghanistan na Iraq kwa faida ya nani?

    Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani! Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu? Je, Marekani inatawaliwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  13. JamiiForums Tanzania Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

    Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel.. Viongozi wakubwa wa mataifa ya Yemen na Iraq wameionya Marekani dhidi ya uingiliaji kati wake huo. Huko Iraq...
  14. JamiiForums Tanzania Je, mwanzo wa mwisho wa Marekani umewadia?

    Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii. Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio alikuwa anatakiwa kiingilia hii show ya israel na palestina sasa tujianda na WW3 soon.

    Habari zenu. Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!. Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatafakari kuongeza vikwazo zaidi vya Chip dhidi ya China

    Kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei, imezindua mfululizo mpya wa simu zake za kisasa za Huawei Mate 60 Pro, hatua ambayo imeendelea kuleta mshutako mkubwa nchini Marekani, ambako wabunge wenye siasa kali wanapendekeza kuongeza vikwazo vya teknolojia za chip na uwekezaji. Ingawa bado...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Italia itaanguka katika mtego wa Marekani wa kuleta utengano katika Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi wa Italia Guido Crosetto alisema, nchi hiyo ilfanya uamuzi wa ghafla na usio na mantiki wa kujiunga na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), miaka minne iliyopita, na kudai kuwa, katika kipindi chote hicho, hakuna kilichofanyika kuongeza biashara ya nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  20. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wasema wapo na JF kwenye kukuza Citizen Journalism

    Ubalozi wa Marekani ni wageni kwenye sherehe ya kutoa tuzo za Stories of Change, Balozi Battle ametoa hotuba nzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…