marekani

  1. JamiiForums Tanzania Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

    Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka kama maagizo ya papa yalivyo agiza kwa viongozi wa kiroho kutekeleza agizo hilo. We need your help to continue and expand the Outreach ministry. Donate today As a married gay...
  2. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara iwapo nchi itaacha kutumia pesa yake na kuamua kutumia dola ya Marekani?

    Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

    Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji. Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa. Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo...
  4. JamiiForums Tanzania China wamekataa kujiunga na Jeshi la Bahari Nyekundu linaloongozwa na Marekani

    Wanaukumbi. The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe; 1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS. 3. Kila vita vinapotaka kusimama, maafisa wazito wazito wa Marekani huenda Israel na vita hurundima upya kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine ni alama nyingine ya kushindwa kwa Marekani na NATO

    Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine. Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
  7. JamiiForums Tanzania Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  8. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa wa Marekani kutembelea Israel kuonyesha wanafungamana na Israel kwa vyovyote

    Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

    1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). 2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS! 3. Kwa takwimu hizi za kura: 4. Kwamba 10 wasiojitambua ni...
  10. JamiiForums Tanzania Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  14. JamiiForums Tanzania U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

    Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq. Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

    Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba.................... The United States exercises its veto at the UN Security...
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh 850,000 Napatikana Kigamboni Dar es Salaam
  18. JamiiForums Tanzania Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

    Wanaukumbi. 🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine "Congress have to pass aid for Ukraine" "If Putin...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…