Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).

2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS!

3. Kwa takwimu hizi za kura:

IMG_20231213_004201.jpg


4. Kwamba 10 wasiojitambua ni hawa:

IMG_20231213_004402~2.jpg


5. Na kwa maneno kuntu ya wachangiaji mbali mbali (Pakistan post #2 imewakilisha);

6. Kwa hakika Israeli na vibaraka wake akiwamo Marekani (na VETO yake uchwara UNSC) wameumbuka!
 
1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).

2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS!

3. Kwa takwimu hizi za kura:

View attachment 2841057

4. Kwamba 10 wasiojitambua ni hawa:

View attachment 2841058

5. Na kwa maneno kuntu ya wachangiaji mbali mbali kama hivi:

View attachment 2841059

View attachment 2841060

6. Kwa hakika Israeli na vibaraka wake akiwamo Marekani (na VETO yake uchwara UNSC) wameumbuka!
Tazama hapa chini support yenu kwa Hamas inavyowasaidia Wapalestina

View: https://x.com/SAzrayev/status/1734711145859068061?s=20
 
Waswahili na Porojo ni pete na kidole. Hapa ndio utajua kwanini umaskini umetutafuna, kila jumba na kibaraza cha umbea na kupepeta mdomo. Yasiyo tuhusu tunayashadadia ya kwetu twaweka kando

1. Yasiyo kuhusu? Huu si ndiyo sababu ya umaskini wa uswahilini?

2. Kuwa ni uswahili? Hii si ndiyo nyani haoni kundule?

3. Kwamba haituhusu? Hii si ndiyo sababu hatupati katiba mpya?

4. Kwamba hayo ni yao sisi tuna yetu? Hii si ndiyo sababu sasa anayelialia na nauli kupanda ni anayetaka kusafiri leo?

5. Kwamba tunyamaze? nInyi si ndiyo Martin Luther alikuwa akiwaangazia ndugu mburula:

F3k78Z8a0AAldWM.jpeg


6. Kwamba UN ni porojo? Au wewe ni kutokea Lumumba ndugu?

Bure kabisa!
 
1. Yasiyo kuhusu? Huu si ndiyo sababu ya umaskini wa uswahilini?

2. Hii si ndiyo nyani haoni kundule?

3. Hii si ndiyo sababu hatupati katiba mpya?

4. Ndiyo sababu sasa anayelialia na nauli kupanda ni anayetaka kusafiri Leo?

5. Marin Luther alikuwa na maneno mazito kwako ndugu mburula:

View attachment 2841065

6. Kwamba UN ni porojo?

7. Wewe ni kutokea Lumumba ndugu?

Bure kabisa!
Bure kivipi
 
HAKUNA CEASE FIRE MAANA LAZIMA WAJUE OCTOBER 07 WALIKUA WANASHANGILIA VIFO VYA WAYAHUDI.
SASA WAVUNE WALICHOPANDA
 
Slaughter of other settler regimes includes just like israel is doing, the united states of america which slaughtered millions of native americans, britain which slaughtered millions of native australians and new zealand maoris.

Gaidi ni gaidi tu kama alivyo mhuni tu!
 
Back
Top Bottom