marekani

  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

    Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi. Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure. Hii Florida...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani: Amuua Jirani yake ambaye alidai kuwa ni Shetani

    Wakuu Salama! Nimeshangazwa na hii taarifa yani mshikaji kampiga kisu mwezie kisa alidhani ni shetani. Mhhh hii sasa inatisha sana. ==================== Mwanamume mmoja wa New Orleans Nchini Marekani aitwae Jerry Gelpi aliyedai kuwa yeye ni Mwana wa Mungu, amehukumiwa kifungo cha maisha jela...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Marekani iliwafunda Nyerere na watu wengine wa dunia waliokuja kuwa Marais wa nchi zao

    Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

    Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake. Kwa upande...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani: Sarah amfungia mpenzi wake kwenye begi na kuumua

    Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
  7. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel ni mataifa tofauti yenye baadhi ya siri za pamoja, bila kulijua hilo, Iran au yeyote dhidi yao, ni mfu atembeaye!

    Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu. Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa. Rejea "Operation...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Rubani wa Turkish Airlines afariki wakati ndege ikiwa angani, abiria wanusurika

    Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua. Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

    Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini: Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko: "Chezea wengine siyo beberu!"
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: FBI yamkamata mwanaume mmoja aliyekuwa akipanga shambulio kubwa siku ya uchaguzi

    Wizara ya Sheria nchini Marekani ilisema siku ya Jumanne kuwa FBI imekamata mwanaume mmoja kutoka Afghanistan ambaye maafisa wa usalalma wanasema alihamasishwa na kundi la wanamgambo la Islamic State na kwamba alikuwa akipanga shambulio la Siku ya Uchaguzi lililolenga umati mkubwa wa watu nchini...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine. Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa Onyo kwa nchi yoyote ya Kiarabu itakayoruhusu Israel na Marekani kutumia anga au ardhi yake kushambulia Iran itaadhibiwa vikali

    Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa. Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi. Msimamo huu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani, Michael Battle: Nchi haiwezi kusimama pekee yake

    08 October 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania. Balozi huyo anayewakilisha maslahi...
  15. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Njia ya zipi sahihi kutuma mzigo Marekani

    Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwenye treni za Ulaya na Marekani kuna dunga dunga(wabambiaji)?

    Kwa wale waliowahi kupanda treni za abiria Ulaya, Marekani, Japan na Korea, huwa huko nako kuna dunga dunga(wabambiaji) kwenye treni zao?
  18. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel, Yoav Gallant ziarani Marekani. Jumatano atakuwa na kikao kizito pentagon na Waziri wa ulinzi Lloyd Austin

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya jumatano Oktoba 8, 2024. Taarifa kamili hapo chini: Defense Minister Yoav Gallant will travel to the...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

    Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
Back
Top Bottom