marekani

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini matajiri wengi wa Dunia wanatoka Marekani?

    Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi. Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi. Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
  3. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

    Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip (kwenda na kurudi) business class?
  4. SaintErick

    JamiiForums Tanzania Za ndani: Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya haziko tayari Ukraine kujiunga na NATO

    Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo. Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  6. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji maarufu Ron Ely maarufu kama Tarzan amefariki duniani

    Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron Ely ambaye alijizolea umaarufu nkubwa baada ya kuigiza kama ‘Tarzan’ Amefariki dunia. Tarzan...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani: AI yamsababishia mtoto kujiua baada kushiriki mazungumzo ya kingono wakati akicheza mchezo wa Virtual 'Game of Thrones

    Hii akili mnemba au akili bandia( AI ) Imekuwa shida sasa ================ Mwanamke aitwae Megan Garcia wa Florida Nchini Marekani, amefungua kesi Mahakamani kuishtaki Kampuni moja ya California iliyotengeneza Chatbot ambayo amedai imesababisha kifo cha Mtoto wake kiume aitwae Sewell Setzer...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Marekani yamkumba ya vishindo vya wakoma, Hezbollah wakifanya yao Tell Aviv!

    Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel: Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu? https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM Ama kweli vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami!
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jimbo la Texas lilinunuliwa na Marekani kutoka Canada Mwaka 1920

    Kutoka kwa Mdau ===== Je, ni kweli Jimbo la Texas lilinunuliwa na Marekani kutoka Canada Mwaka 1920?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni zamu ya Ulaya kutawaliwa: Ulaya Magharibi ni koloni mamboleo la Marekani

    Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani! Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
  12. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran

    Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo. Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu...
  13. blogger

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

    Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
  14. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Israel na Marekani uko sawa na ule wa Ujerumani na Austria 1914

    "History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa Ujerumani na mdogo alikuwa ni Austria. Austro-Hungary lilikuwa ni taifa linalotawaliwa na familia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

    MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi. Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya...
  17. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Marekani zinawekewa bendera nje?

    Wakuu mnijibu Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
  18. A

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo Hezbullah

    Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel. US kisha changan'yikiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wamarekani wako tayari kuongozwa na mwanamke?

    Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
Back
Top Bottom