marekani

  1. H

    JamiiForums Tanzania Iran kuishambulia Marekani

    Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi. Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi. Vyombo mbalimbali vya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
  3. papag

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Usalama Wa Wanahabari upo Hatarini Marekani- CPJ yasema

    Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari wa Marekani wanakabiliwa na tishio jipya ikiwemo kushambuliwa na polisi, mashambulizi ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

    Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo. Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China inapanua uwekezaji Afrika huku Marekani ikiizuia kuongeza uwezo wake wa uzalishaji

    Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa inayosema kwamba uwekezaji wa China barani Afrika mwaka 2023 ulikuwa dola za kimarekani bilioni 3.96...
  8. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Kivita ya Urusi SU - 35 yaingia Katika anga la Marekani huko Alaska, Rubani wa marekani apata Kiwewe

    Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea. Mpaka sasa Pentagon hawajatoa...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

    Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon. Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 Nchini Marekani

    Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 kusini mashariki mwa Marekani, na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa kwa miundombinu na jamii. Siku chache baada ya kimbunga hicho cha kiwango cha 4 kupiga pwani ya Florida, maeneo mengi yamesalia na mafuriko, huku barabara zilizoharibika...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani wapongeza kifo cha Hassan Nasrallah huku moto wa makombora ya Hizbullah na Houth ukiunguza Jerusalem na Tel Aviv

    Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi. Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains 26000/USD money 4 coverage cameras 2HP computer set 6toshiba laptops 5 iPads 5 Iphone 25 samsung tabs...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maafisa usalama zaidi ya 700 wamuunga mkono Kamala Harris dhidi ya Trump kwenye Uchaguzi mkuu Marekani 2024

    Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump. Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Urgent! Natafuta chuo Marekani kisichoomba IELTS/ TEOFL nikasome masters

    Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL. Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo. Wasalaam!
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya. Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Biden awaaga Marais wenzake kwenye Mkutano wa 79 wa UNGA

    Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea Soma Pia: Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia' Al Jazeera news
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya Marekani imepata athari mbaya.Uchunguzi unaendelea

    Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo. Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Marekani kupanga kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano

    Nimekutana na poster yenye taarifa kuhusiana na ubalozi wa Marekani kuisaidia CHADEMA kufanya maandamano, je ni upi uhalisia wake?
  20. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka. Vikosi vya wanajeshi wenye weledi maalumu huko Mashariki ya kati

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: US...
Back
Top Bottom