marekani

  1. ndege JOHN

    Marekani na Urusi wanapigana vita ya nini wakati wanashirikiana kwenye mambo mengi tu?

    Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli. Kwa Africa ni Nigeria ndo linaloongoza kupewa michango. Nije kwenye point yangu. Kwanini marekani...
  2. Mr Why

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini...
  3. BARD AI

    Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  4. L

    Marekani kuchochea kile kinachodaiwa "udhibiti wa China wa maliasili za Afrika " kwafichua ubabe wake

    Kutokana na kuongezeka kwa changamato za mabadiliko ya tabia nchi, mahitaji ya mabadiliko ya nishati duniani yameongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kuonyesha umuhimu wa kimkakati wa Afrika ambayo ina asilimia 30 ya rasilimali za madini duniani. Hii imekuwa fursa muhimu kwa Afrika...
  5. Yoyo Zhou

    Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
  6. Forgotten

    Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale wanaojipanga kutoka nje ya mipaka ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Nitaanza kuweka njia rahisi za kuingia...
  7. L

    Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani. Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake. Chanzo cha habari yangu ni...
  8. The Sheriff

    Marekani: Wabunge wapendekeza mpango wa kulinda haki ya faragha mtandaoni kwa Wamarekani wote

    Wabunge wawili wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wamefikia makubaliano ya pande mbili ambayo kwa mara ya kwanza yanaweza kutoa haki ya msingi ya faragha ya kidijitali kwa Wamarekani wote na kuanzisha sheria ya kitaifa inayosimamia jinsi makampuni yanavyoweza kukusanya...
  9. S

    Marekani: Jimbo la Oklahoma laamuru shule kutoa mafunzo ya Biblia 'mara moja'

    Afisa mkuu wa elimu wa jimbo la Oklahoma nchini Marekani ameamuru shule kuanza kujumuisha Biblia katika masomo, katika agizo la hivi punde ya kuhusu mafunzo ya kidini shuleni. Agizo lililotumwa na Msimamizi wa jimbo la Republican Ryan Walters lilisema sheria hiyo ni ya lazima, inayohitaji...
  10. Lycaon pictus

    Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  11. X

    China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
  12. BigBro

    Marekani yamfunga jela Rais wa Honduras miaka 45

    MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Hernandez amehukumiwa kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya tani...
  13. I

    Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

    Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo. Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani yamwambia Rais Ruto "Polisi wapunguze matumizi ya nguvu kwa waandamanaji"

    US Gov't Calls President Ruto Over Kenyan Police Violence United States Secretary of State Antony Blinken has emphasized that Kenyan police need to exercise restraint and refrain from using violence on demonstrators protesting the Finance Bill 2024. The spokesperson for the U.S. Department of...
  15. Richard

    Mwanzilishi wa Wikileaks Julian Assange aachiwa huru kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12

    Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana Assange alikuwa akikaa gerezani hapo akisubiri kupelekwa Marekani kujibu mashtaka ya ubakaji ambako...
  16. L

    Ujanja wa taasisi za utafiti za Marekani kuficha ukiukaji wa haki wa wachache wazidi kufichuliwa

    Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini au wanakotoka. Na mara nyingi ikiwa ikitumia kisingizio hicho kama ni mamlaka ya kimaadili, na...
  17. Tlaatlaah

    Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

    Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024. Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa miaka 81, akikita kambi yake ya siri ya maandalizi ya kujifua na mdahalo huo muhimu huko Camp...
  18. Sir John Deere

    Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

    Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF. Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

    Louisiana imekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kutaka kila darasa la shule za serikali, kuanzia msingi hadi chuo kikuu kubandika Amri Kumi za Mungu ukutani. Hatua hiyo iliyochochewa na chama cha Republican na kutiwa saini kuwa sheria na Gavana wa jimbo hilo Jeff Landry (pichani) siku ya...
  20. Sigonella Island

    Marekani imelaumu Vietnam kumpokea Putin na kusaini ushirikiano

    Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. 😅😅 US condemns Vietnam for...
Back
Top Bottom