marekani

  1. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

    Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli. Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani ingependa iwasaidie Ukraine kwa silaha zaidi, lakini wameishiwa.

    Vita vya Urusi na Ukraine na vile vya Israel na wapalestina pamoja na rafiki zao vinazidi kuikamua Marekani na kuipokonya ile sifa yao ya kuwa taifa kubwa. Imeelezwa kuwa karibuni hivi nchi hiyo itaidhinisha kwa mara nyengine kiasi kikubwa cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.Hata hivyo msaada huo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

    Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk. Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

    Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris hatoshinda uchaguzi mkuu ila atatangazwa kama mshindi

    Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024. Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Culture ya nchini Marekani ilivyoiteka afrika kupitia muziki toka enzi hizo

    OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika. Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap .. wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
  13. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Mbwa Masikini wa Afrika 'akimbwekea' Mbwa Tajiri wa Ulaya na Marekani wanatishika au hata kupepesuka tu?

    Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Marekani haipendi kuona nguvu ya “Dunia ya Kusini” inaongezeka?

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Mji wa Springfield Marekani hali ni tete watu wanakula paka na mbwa

    Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na mbwa. Baadhi ya vyombo vya habari nchini marekani ambavyo mara nyingi Trump huviita kwa jina la fake...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

    Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora yamesafiri Kilomita 2000 toka Yemen Hadi kwenda kuichakaza TelAviv.. Netanyahoo mavi yanagonge kyupi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

    Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi . Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
  20. X

    JamiiForums Tanzania China vs US: Baada ya Marekani kuona vita vya kichumi havifanyi kazi sasa yawekeza mabilioni kwenye vita vya propaganda dhidi ya China

    Sept 11, 2024, Baraza la Wawakilishi la bunge la Marekani liliidhinisha kiasi cha $1.6 Billion. Bajeti hiyo ni ya miaka mitano (2023-2027) kueneza propaganda dhidi ya China sehemu mbalimbali duniani ikilenga hasa kuiharibia sifa China, ikitumia media za nje ya Marekani. Mpango huu umepewa jina...
Back
Top Bottom