Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
Kuna kila dalili kuwa migawanyiko, undumila kiwili, unafiki, na woga wa waarabu utawatokea puani. Yenyewe yamekaa na kuangalia kana kwamba hayawahusu.
Na waafrika tujuandae. Huu waweza kuwa mchezomkubwa na mchafu kuliko unavyoonekana.
Tuombe Mungu wachina waendelee kutofautiana na wazungu...
Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani.
Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe.
Sasa kupitia malalamiko hayo...
Facebook kule ni mtandao wa marekani, kule samia mpaka trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi.
Kule Tiktok ni wa china kule raisi wa china anatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa sio rais wa china tu mpaka samia anatukanwa sana kule mara...
Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye fomu ni sahihi na kujua nia yako ya kweli ya kusafiri Marekani.
🔹 Maswali ya kawaida unayoweza...
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁.
Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana
Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi
Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.
You
Wasalm alaykum tena wana Jf.
Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization.
Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali...
Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio hilo tujikumbushe kidogo.
Sehemu ya upande wa kaskazini mwa jengo la WTC muda mfupi baada ya...
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!!
Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu?
Kwanza alimletea chokochoko mchina uzuri wake wachina huwa wanacheka na kima wakamkaushia, akatoka hapo akaleta...
Kikao cha Seneti ya Mexico kilivurugika Jumatano baada ya wabunge kushikana na kupigana kufuatia mjadala mkali kuhusu iwapo Marekani inapaswa kuingilia kupambana na magenge ya dawa za kulevya nchini humo.
Vurugu hizo zilikuwa kali kiasi cha kumwangusha mpiga kamera aliyekuwa akirekodi tukio...
Habari wakuu.
Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior.
Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.