marekani

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Marekani ingekuwa bongo watu wengi wangepotea

    Marekani wanabishania budget ambapo imebidi fedha zisitishwe kwa mwaka wa fedha ambao kwao unaanza October 1. Hii ni kufuatia kutokubaliana na ile One big beatiful bill ya Trump. Hii imepelekea balozi nyingi kuacha kutoa huduma kwa kuwa mishahara haitaingia hadi suala hilo la bajeti likifika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Serikali ya Marekani zimefungwa

    Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu kinachofuata Ni mara nyingine tangu 2019 Serikali kufunga shughuli zake, ambapo vyama vya Republican na...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania China yasema Dunia nzima hofu yake ni Marekani tu. Akina Russia si kitu

    Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na China? Ajue China siyo Iran au Syria au Yemen. Anyway. Nachomkubali Netanyau ni kujiamini kwake na...
  4. Zacht

    JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  5. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Hii njia ya leo aliyopita Netanyahu kuelekea Marekani, anakimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita?

    Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita. Netanyahu aliondoka Telaviv...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump afungua milango kwa matajiri wenye $5Million kununua uraia wa Marekani

    Ni sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uholanzi yaungana na Marekani kukipa hadhi ya ugaidi kikundi cha ANTIFA

    ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu. Soma pia...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe Israel na Marekani walifanya kazi safi

    Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism. Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha. Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Israel ni mtawala wa Marekani au ni mshirika wa Marekani?

    Israel ni mtawala wa Marekani au ni mshirika wa Marekani ? Je, Waziri mkuu wa Israel ana nguvu kuliko Rais wa Marekani ?
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

    Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

    Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ghana yakubali kupokea wahamiaji wa Afrika Magharibi waliorejeshwa kutoka Marekani licha ya sintofahamu juu ya Sera za Uhamiaji Kimataifa

    Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, amesema nchi yake imekubali kuwapokea raia wa Afrika Magharibi waliorejeshwa kutoka Marekani. Alithibitisha kuwa tayari Ghana imepokea kundi la watu 14, wakiwemo raia wa Nigeria na Mmgambia mmoja, ambao baadaye walisaidiwa kurejea katika nchi zao. Hata hivyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukitetea mambo haya Marekani unajiingiza kwenye 18 za wafuasi wa chama cha Democrats, tegemea kuuliwa, kuumizwa au kuhangaika kama Charlie Kirk

    Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana, -Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

    Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train. Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu...
Back
Top Bottom