marekani

  1. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yashinda shambulio la kimtandao la Marekani dhidi ya “Saa za Beijing”

    Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
  3. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

    Habari za hivi punde ni kuwa Rais Trump anatarajiwa kuruhusu mashambulizi ndani ya Venezuela kwa lengo la kumuondoa Rais Madulo, Venezuela tayari imesogeza Vilinda Anga muda mchache uliopita kuwakabiri marubani na makombora ya Marekank
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wadachi wameyatimba kwa Wachina, kuwa kibaraka wa Marekani kumeigharimu Ulaya

    Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika. Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua Nexperia. Hivyo Nexperia ikawa ni kampuni tanzu ambayo inamilikiwa kihalali na Wingtech ya China. Na...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Marekani kupinga utawala wa Trump katika maandamano ya “No Kings”

    Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika kote Marekani na duniani. Maandamano haya ni sehemu ya harakati kubwa ya kupinga kile kinachoitwa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani imevamiwa na Magaidi siku nyingi!!

    Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita. Bendera za vikosi vya Hamas Al-Qassam, Saraya Al-Quds, Hezbollah, Houthis na zaidi zilikuwepo kwenye...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yafuta VISA za waliofurahia kifo cha Charles Kirk

    Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk. ============== Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept) Machapisho tena: 17.3K Majibu: 3,949 Walioipenda: 131K Walioweka alama: 7,977 Wizara ya Mambo ya Nje (ikijibu kwa...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Hali tete Marekani inaomba msaada wa washirika wake na dunia dhidi ya China katika vita vya uchumi

    Huenda umelisikia sana jina Scott Bessent tangu Trump aingie madarakani hasa wakati huu wa vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China. Huyu ni U.S Treasury Secretary na ndiye mwakilishi anayeongoza jopo la wajumbe wa Marekani katika mikutano ya China na Marekani ya kusuluhisha mzozo wa...
  11. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inafuta Visa kupitia X

    Wakuu kuweni makini na mienendo yenu huko mitandaoni hasa kama unatumia ID inayokufanya ujulikane kwa urahisi. Mambo yamekuwa si mambo huko X baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kutangaza kupitia X kwamba haitowakaribisha wageni wowote wanaotamani kifo kwa Wamarekani, ikionyesha wazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hamas waliposikia Kamala Harris kashindwa Uraisi walisikitika, Marekani ya chama cha democrats inapendwa sana na magaidi

    Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde. Waliposikia ni rais wa Republican kashinda hawakufurahi kabisa. Huyu ni moja wa mateka walioachiwa akielezea hali ilivyokuwa...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Balozi za Ujerumani na Marekani zinao wajibu wa kufafanua juu ya wawili waliofutiwa visa na Tanzania

    Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mabadiliko ya Masharti ya VISA ya Marekani si kosa la Serikali, ni kosa la Wanaozamia

    Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa. Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
  15. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Marekani yaufuta mradi wa tanzania NCO development

    Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1 Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

    RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa ndani Marekani alalamika kuzuiliwa kuingia katika choo cha manispaa jimbo la Illinois

    Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la Illinois alipokuwa katika operations za ICE. Mwanamama huyo amemtupia lawama Gavana wa jimbo hilo...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyogeuka uwanja wa vita(warzone) chini ya Trump

    US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
Back
Top Bottom