marekani

  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

    Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania. Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi. Ikumbukwe ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna ubavu wa kumshika mwanajeshi wa Marekani ni uchawa tu

    Polisi hii ya kupiga risasi vijana ndiyo yenye uwezo wa kumshika Mwanajeshi wa Marekani tuache ujinga na uongo. Mwanajeshi wa Marekani akishikwa ni swala la kitaifa mpaka sasa jeshi la Marekani halijasema kitu. Pili kama alikuwa mwanajeshi zamani sasa atakuwa mwanajeshi mstaafu. Kuna kitu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jibu la marekani ni muhimu sana kutokana na propaganda hii ya uyu mwanajeshi wao

    Kwa tukio kama hili, jibu la Marekani ni muhimu sana si kwa sababu ya yule aliyekamatwa, bali kwa ajili ya usalama wa taifa na ukweli. Ukimya wa Marekani utawapa CCM nafasi ya kuendelea kutengeneza simulizi yao ili kufunika mauaji ya tarehe 29 Oktoba 2025. Taarifa rasmi kutoka Marekani...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msijaribu kuichokoza Serikali ya Marekani tafadhali kuhusu Raia wao kupatikana na mabomu nchini

    Waoneeni size yenu Chadema Huko mnakokwenda sio Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃 Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF? Hayo mabomu...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa hutapata ruhusu ya kuingia marekani kama wewe ni kibonge

    https://m.youtube.com/watch?v=AbCEjPguQdY
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  12. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

    Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kundi la Maseneta lataka nchi yao kupitia upya Uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji kwenye maandamano ya Uchaguzi 2025

    Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025. Rais Samia Suluhu...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tahadhari Kuhusu Marufuku ya Kutotoka Nje na Hali ya Usalama Dar es Salaam

    Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa harakati za watu. Huduma ya intaneti bado imezuiwa, jambo linalosababisha ugumu katika mawasiliano na...
  15. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yashinda shambulio la kimtandao la Marekani dhidi ya “Saa za Beijing”

    Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
  17. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

    Habari za hivi punde ni kuwa Rais Trump anatarajiwa kuruhusu mashambulizi ndani ya Venezuela kwa lengo la kumuondoa Rais Madulo, Venezuela tayari imesogeza Vilinda Anga muda mchache uliopita kuwakabiri marubani na makombora ya Marekank
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Wadachi wameyatimba kwa Wachina, kuwa kibaraka wa Marekani kumeigharimu Ulaya

    Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika. Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua Nexperia. Hivyo Nexperia ikawa ni kampuni tanzu ambayo inamilikiwa kihalali na Wingtech ya China. Na...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Marekani kupinga utawala wa Trump katika maandamano ya “No Kings”

    Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika kote Marekani na duniani. Maandamano haya ni sehemu ya harakati kubwa ya kupinga kile kinachoitwa...
Back
Top Bottom