The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Kama madini , wanyama, mbao na ngozi wanajibebea tu sasa unaposema waje kuwatawala, waje kwa aina ipi ili uone wamekuja ?View attachment 3468301
Kuna kila dalili kuwa migawanyiko, undumila kiwili, unafiki, na woga wa waarabu utawatokea puani. Yenyewe yamekaa na kuangalia kana kwamba hayawahusu.
Na waafrika tujuandae. Huu waweza kuwa mchezomkubwa na mchafu kuliko unavyoonekana.
Tuombe Mungu wachina waendelee kutofautiana na wazungu vinginevyo, tutajikuta tunatawaliwa tena tena vibaya sana hasa ikizingatiwa kuwa watakaotutawala ni wehu kama trump na netanyahu na magenge yao.
Bado imebakia kutugeuza watumwa na kutunyima hata uhuru wa kulala na wake zetuKama madini , wanyama, mbao na ngozi wanajibebea tu sasa unaposema waje kuwatawala, waje kwa aina ipi ili uone wamekuja ?
Wameshafanikiwa kuwaaminisha vyakula vya supamaketi ni bora kuliko vya mashambani, baada ya hapo nguvu za kuwakaza wake zenu zishapotea.Bado imebakia kutugeuza watumwa na kutunyima hata uhuru wa kulala na wake zetu
Ila mie bado ninazo tena na za ziada mwananguWameshafanikiwa kuwaaminisha vyakula vya supamaketi ni bora kuliko vya mashambani, baada ya hapo nguvu za kuwakaza wake zenu zishapotea.