marekani

  1. Webabu

    Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  2. Fbn

    Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  3. M

    Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  4. L

    Nchi za Afrika zasema hapana kwa Marekani moja baada ya nyingine

    Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo "iliiacha Washington na kutafuta manufaa kwa Beijing", na ikaeleza wazi haki yake ya kuimarisha...
  5. Rorscharch

    China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  6. Lord Denning

    Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  7. Ritz

    Hamas yakubali pendekezo la Marekani la mpango wa kusitisha mapigano Gaza

    Wanaukumbi. Duru za habari zinasema Al Jazeera Hamas imekubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na Marekani. Rasimu ya makubaliano hayo ni pamoja na kusitisha mapigano kwa siku 60 na kuachiliwa kwa mateka 10 walio hai pamoja na miili ya watu wengine kadhaa kwa malipo ya wafungwa wa...
  8. GoldDhahabu

    Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  9. Mhaya

    Trump Kuvaa Kama Papa Haikuwa Bahati Mbaya, Marekani Ilikuwa Ishafanya Maamuzi Juu Ya Ujio wa Papa Mpya

    Watu wengi walivurugwa baada ya kuiona picha ya Trump akiwa amejipa upapa. Watu wakaongea weee ila mzee baba alijua tu, this time Marekani inatoa papa. Akaamua kutupa picha, sema na vichwa vyetu vya panzi hatukuelewa. Kutu chochote kiitwacho uchaguzi, Marekani anaweza kuingiza mikono yake...
  10. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  11. N

    MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  12. Mhaya

    Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  13. BLACK MOVEMENT

    Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  14. Just Pray

    Serikali ya Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa

    Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo. Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
  15. Mto wa mbu

    Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  16. Yoyo Zhou

    Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  17. Canto

    Jinsi nilivyotazaa Mkutano wa Rais wa Marekani, Donald Trum na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa

    Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo: 1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
  18. Nyani Ngabu

    Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  19. The Zanzibar Echo

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei atiliashaka mazungumzo ya nyuklia ya Marekani

    Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha urani. Hatujui iwapo yatasababisha mafanikio yoyote. Hatujui kitakachotokea, Ayatollah Ali...
  20. Genius Man

    Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
Back
Top Bottom