marekani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Marekani Yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

    17 September 2021 Unguja, Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

    Wanaukumbi. Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu. Kulikoni tena...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yahimizwa kubadilisha sera yake ngumu dhidi ya China

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani

    Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa, Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe, Kumekua na...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

    Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
  8. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoka nchini Afghanistan mikono mitupu baada ya vita ya miaka 20

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Marekani Jenerali Kenneth McKenzie tarehe 30 Agosti alitangaza kwamba, Marekani imemaliza kuondoa vikosi vyake kutoka nchini Afghanistan, ikimaanisha kuwa, operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyoendelea kwa miaka 20 nchini Afghanistan imemalizika rasmi. Vita hii ambayo...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

    Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Apple yasogeza mbele mipango yake ya kuachia mfumo wa kukagua picha

    Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo...
  12. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kimbunga Ida: Idadi ya vifo yapanda hadi watu 41 katika majimbo manne ya kaskazini mashariki mwa Marekani

    Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutowajibika kwa Marekani nchini Afghanistan kwaleta changamoto kubwa ya kibinadamu

    Muda uliowekwa na Rais Joe Biden wa Marekani kuondoa majeshi kutoka Iraq umepita, huu ni muda ambao wamarekani wengi walikuwa wakiusubiria. Kwani kwa muda wa miaka 20, wamarekani wamekuwa wakijiuliza ni kwanini majeshi ya Marekani yanaendelea kuwepo Afghanistan? Wazazi wa wanajeshi waliokuwa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden atetea uamuzi wa kuondoa Vikosi Afghanistan

    Rais Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa Vikosi vya Marekani Nchini Afghanistan. Rais huyo amekosolewa kwa kiasi kikubwa kutokana na namna Vikosi vya Taifa hilo vilivyoondoka. Hata hivyo, katika hotuba yake Biden amesema kuendelea kukaa zaidi halikuwa suala lililohitaji mjadala na hakuwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yajishushia hadhi kwa kutoa “Ripoti ya Biashara ya Magendo ya Watu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
  17. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Video: Wataliban wakisherekea baada ya Wanajeshi wa Marekani kuondoka Afghanistan

    Ndege ya mwisho iliyowabeba wanajeshi wa Marekani imeondoka jana nchini Afghanistan na kuashiria kumalizika kwa vita vya miaka 20, vinayotajwa kuwa virefu zaidi katika historia ya Marekani. Kuondoka kwa Wanajeshi wa Marekani kunakuja wakati dunia ikishuhudia kushindwa kwa wanajeshi hao...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maelfu waondoka Louisiana kutokana na Kimbunga Ida

    Wakati Kimbunga Ida kinaendelea kusogea, maelfu ya watu wanaondoka Jimbo la Louisiana kwasababu ya usalama Watabiri wanasema kinaweza kuwa na nguvu zaidi kuliko Kimbunga Katrina ambacho kiliharibu sehemu kubwa ya New Orleans mwaka 2005 Gavana John Bel Edwards ameonya kuwa kinaweza kuwa...
  19. Miki123

    JamiiForums Tanzania Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

    Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko). Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu. Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano. 1. MATUKIO YA...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

    MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA. Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
Back
Top Bottom