Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu.

Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android.

Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa na asilimia 30 ya mapato. Upande wa 'consumer electronics' unaojumuisha simu umeshuka kwa asilimia 47.

Ni Hasara kubwa kuwahi kuipata Kwa kampuni kubwa ya utengenezajj simu China.

Soko la Huawei linazidi kudorora na iwapo serikali ya Biden haitolegeza vikwazo basi
kifo cha Huawei upande WA simu kitakuwa kimeshawadia.

===================

Huawei revealed its biggest-ever decline in revenue in the first half of 2021 - it fell by almost 30% to Rmb320 billion (£35.5 billion).

The firm sold part of its mobile phone business following US sanctions, which analysts say contributed to the drop.

Sanctions make it hard for Huawei to buy components and software using US technology.

Revenue from Huawei's consumer electronics arm, which includes phones, fell by 47%.

Huawei also cited the effect of the chip shortage on its business.

Earlier this year the company's consumer devices chief acknowledged the challenges it faced: "US sanctions have posed great difficulties to our business operations and day-to-day work," Richard Yu, said as the company announced the launch of a new phone.

The sanctions have also effectively prevented Huawei devices from working fully with Google's Android Operating system, prompting the firm to expand the use of its own Harmony OS .
Slow rollout

Huawei's telecoms equipment business also saw a decline in revenue.

A spokesperson for the company told Reuters this was due to the slow rollout of 5G in China.

But sales outside China increased, in spite of US pressure on its allies to exclude Huawei from 5G infrastructure over concerns about national security.

Huawei denies allegations that its equipment poses a security risk, and has called the claims politically motivated.

The company saw growth from its enterprise and cloud services businesses.

Efficiency improvements also saw profit margins increase, it said.

In a statement, Chairman Eric Xu said: "Our aim is to survive, and to do so sustainably,"

SOURCE: BBC
 
Mchina tunamsifia kumbe hamna kitu, kabanwa kwenye OS tu kawa chali. Kwa Marekani atasubiri sana.
 
Marekani ana muonea China sababu wale jamaa wana copy copy tu, ila zipo Nchi kama Japan, Ujerumani, urusi, Maeneo ya Scandinavia yale etc Wana Tech za kutosha kiasi kwamba USA Hana Guts za kuweka Vikwazo.
Russia amekula sanctions za kutosha. hao waliobaki hawanaga vita na Mmarekani. Sema Russia wanajua kusimamia Teknolojia yao tofauti na Wachina!
 
Mkuu Angalia nchi zote ambazo Marekani ameziwekea Vikwazo, mfano Iran, Ujerumani Ana Trade na Iran wala Hana Habari na Vikwazo.

Walivyom ban Huawei Merkel alikataa Full ban,

Hivyo USA akiweka Vikwazo kwa Ujerumani anaumia yeye zaidi.

Na Urusi nae hivyo hivyo alifunga Bomba za Gesi makumi kwa maelfu ya Nyumba wakawa Wana Ganda na watu Kuanza kufa

Point yangu ilikuwa simple. Russia pia amechezea sana sanctions. Na hawa Wajerumani et al wana mahusiano mazuri na US ndio maana huwa anawapa waiver ya sanctions ili wafanye biashara na sanctioned nations. Ni Waarabu wa pemba hao.
 
Nakumbuka kipindi kile Trump anawawekea vikwazo mmiliki wa Huawei alijigamba sana kwamba watatoboa. Nikajua huyu anajifariji tu.

Kwa ujumla miaka 2 Huawei itakua Historia iwapo Biden hatalegeza vikwazo.

China hawataku kuwekeza kwenye teknolojia, wao wanataka kukopi tu na ku paste, hii ndio inawaghatimu.

Kwa sasa Marekani aachwe tu. Akikuwekea vikwazo huchomoi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Yani wewe jamaa umeongea utumbo wa karne, china hawataki kuwekeza kwenye tech?ku copy and paste unaongelea viwanda vidogo vidogo ama unaongelea big tech companies?unaijua status ya china kama nchi technologically??

Huawei wamepigwa kibaishara na kisiasa siyo kwa technology, swallow that
 
Kama sio Harmony Os Huawei mobile division ingekufa 100%.
 
Yani wewe jamaa umeongea utumbo wa karne, china hawataki kuwekeza kwenye tech?ku copy and paste unaongelea viwanda vidogo vidogo ama unaongelea big tech companies?unaijua status ya china kama nchi technologically??

Huawei wamepigwa kibaishara na kisiasa siyo kwa technology, swallow that
Huelewi unachoongea.

Hebu tafta maarifa zaidi kisha uje tujadiliane.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Yani wewe jamaa umeongea utumbo wa karne, china hawataki kuwekeza kwenye tech?ku copy and paste unaongelea viwanda vidogo vidogo ama unaongelea big tech companies?unaijua status ya china kama nchi technologically??

Huawei wamepigwa kibaishara na kisiasa siyo kwa technology, swallow that
Huawei ana Tech gani mkuu? Ama China ana Tech gani kubwa ya kujivunia Duniani? Tuanze hapa.
 
Yani wewe jamaa umeongea utumbo wa karne, china hawataki kuwekeza kwenye tech?ku copy and paste unaongelea viwanda vidogo vidogo ama unaongelea big tech companies?unaijua status ya china kama nchi technologically??

Huawei wamepigwa kibaishara na kisiasa siyo kwa technology, swallow that
China wamepigwa pini kwenye chip, Wana kiwanda smic cha uundaji WA chip Kwa nini wamekwama sasa? Tena kama Huawei upande WA high tech(chip) walikuwa wanategemea Taiwan. Au teknolojia gani unazingumzia?
 
Marekani ana muonea China sababu wale jamaa wana copy copy tu, ila zipo Nchi kama Japan, Ujerumani, urusi, Maeneo ya Scandinavia yale etc Wana Tech za kutosha kiasi kwamba USA Hana Guts za kuweka Vikwazo.
Mkuu kwenye hii ishu shida ni watu tu wamezoea huduma za android,iOS na google kutoka huko Marekani..Sidhani kama shida ni kucopy tu..yaani ni kazi sana kuwashawishi watu kutokutumia hivyo vitu..

Hawa jamaa ni wajanja sana,wanatengeneza traps za hatari..kwenye banking nako wamo na Visa na Mastercard.
 
China wamepigwa pini kwenye chip, Wana kiwanda smic cha uundaji WA chip Kwa nini wamekwama sasa? Tena kama Huawei upande WA high tech(chip) walikuwa wanategemea Taiwan. Au teknolojia gani unazingumzia?
Taiwan politically ni china
 
Mkuu kwenye hii ishu shida ni watu tu wamezoea huduma za android,iOS na google kutoka huko Marekani..Sidhani kama shida ni kucopy tu..yaani ni kazi sana kuwashawishi watu kutokutumia hivyo vitu..

Hawa jamaa ni wajanja sana,wanatengeneza traps za hatari..kwenye banking nako wamo na Visa na Mastercard.
China miaka nenda miaka rudi hawatumii service za Google, hivyo software wise Ban haikua na madhara yoyote China sababu Android ni open source ambacho sio open ni software za Google...

Je kwanini sasa Huawei Adrop mpaka soko la China? Jibu ni rahisi Huawei Hana tech ya hata kutengeneza hardware.

1. Chip zake za kirin ni Arm kampuni ya waingereza inayomilikiwa na wa Japan, ili zitengenezwa ni TSMC, Samsung ama Intel pekee ndio Wana Tech za kisasa kutengeneza. Hivyo ameshindwa manufacture soc Hana hardware za kutengeneza simu.

2.ukija kwenye Display ukienda Deep kabisa chemical za kutengeneza display za kisasa ni Japan pekee ndio a najua kutengeneza.

3.hapo bado hujakuja kwenye patents vitu kama Video, network, na mambo kibao si vyake wala China hawana tech Mbadala...
 
Hiki ndicho kilinishangaza mwanzo,iweje jamaa wafrop mpaka kwao!!!

Sasa naelewa maana ya neno mtu akikwambia jitoshereze kiuchumi.
Kiufupi mchina uchumi wake umejengwa juu ya tuta la mchanga.
 
Back
Top Bottom