Marekani atoa masharti yasiotekelezeka

Marekani atoa masharti yasiotekelezeka

Ila wewe mkuu,

Unaipenda mno Iran, unafikia kiwango cha kupoteza mpaka akili yako kisha kufunga uwongo uwongo tu kisa Iran au USA

Ukiondoa hii tarifa, kuna uzi mwingine umetuma ukidai USA atepeta, akubali masharti yote Ya Iran, sjui akubali kulipa dola 6B zilizokuwa zimezuiliwa huko Qatar n.k

Mkuu, tunakushimu sana humu chief

Nh'ungumalwa ulishatoka au bado upo huko? Nataka kuja kutafuna mtama mwekumdu huko
 
Wewe unaumia nini wakati yeye ndie alieavamiwa na anataka haki yake? Au ndio wewe unafurahi Lissu akizidi kukaa ndani na asipewe haki yake?
 
Ila wewe mkuu,

Unaipenda mno Iran, unafikia kiwango cha kupoteza mpaka akili yako kisha kufunga uwongo uwongo tu kisa Iran au USA

Ukiondoa hii tarifa, kuna uzi mwingine umetuma ukidai USA atepeta, akubali masharti yote Ya Iran, sjui akubali kulipa dola 6B zilizokuwa zimezuiliwa huko Qatar n.k

Mkuu, tunakushimu sana humu chief

Nh'ungumalwa ulishatoka au bado upo huko? Nataka kuja kutafuna mtama mwekumdu huko
Kuna jamaa humu anaitwa Echolima1. Huyo hata Netanyahu akijamba, lazima aje kuandika thread humu ya kuusifu ushuzi wa Netanyahu kuwa una manukato ndani yake.

Swali.. je na yeye ushawahi kumshangaa namna hii kwa kuipenda Israel na Netanyahu wake kupitiliza?

Au kunya anye kuku tu, lkn akinya bata ni shida?
 
Mkuu,

Mimi nimeanza na chief Malaria 2 , cheki na huyo Echolima1 tuwakumbushe kuwa, kwanza wanapaswa kuipenda TZ kwanza na kuitetea kwa hali zote

Pili, wanapaswa kusema kweli maana hata Mungu anapenda kweli, wasiwe waongo
 
Kuna wapagazi humu walisema Marekani amekubaliana na masharti yote ya Iran sasa katika hali kama hii tutawaona wakiingia mitini au kama kawaida wakibadilisha gia angani kwamba hawakusema hivyo.
 
Yaani Iran kiboko
 
Ngoja wauane ila pale Iran wakubwa naona wameisha saiv wataua had makatibu kata
 
Back
Top Bottom