Uhuru Kenyatta kabeba ajenda za Afrika Mashariki kwenye kikao chake na Joe Biden wa USA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,872
141,805
Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.

=======

Biden Welcomes Kenyatta to the White House

U.S. President Joe Biden hosts his Kenyan counterpart, Uhuru Kenyatta, today in Washington. Kenyatta is the first African leader to meet with Biden at the White House since he became president.

The two are expected to discuss a range of issues, from economics and security to climate change and human rights.
 
Unafikiri kwanini tuwakilishwe na jirani, Tena jirani tuliyemchukia bila sababu, hata mwenyewe akawa anasononeshwa na kumchukia kwetu, je uhusiano na jirani yetu wa sasa unaweza kumshawishi atutetee Kwa usawa, kumbuka hata huyo jirani yetu yapo asiyoyapenda kwetu, kama Ile democrasia ya mazingira ya kitanzania pamoja na haki za msingi za kikatiba na za kibinaadamu. Au john umekuja hapa kutuhadaa TU. Ila pamoja na yote usikate Tamaaa tuletee updates kama Kawa.
 
Zamani muda wote afrika mashariki iliwakilishwa Sana na kikwete unadhani kwann leo mtoto wa jijini Nairobi Uhuru kenyata ,shida nimalezi mnayopata toka umezaliwa unasikiaga uwongo hapo lumumba
 
Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.

Updates;

..subiri matusi toka kwa UV-CCM.
 
Zamani chance kama hizi zilituhusu sisi

Uhuru alikuwa na makesi yake ICC since alikuja yule "kiongozi wa malaika"

Tinadharaulika kimataifa tunaoneka wababaishaji tu.

Tunajaribu kujipendekeza kwao but hawana time na sisi
 
Zamani muda wote afrika mashariki iliwakilishwa Sana na kikwete unadhani kwann leo mtoto wa jijini Nairobi Uhuru kenyata ,shida nimalezi mnayopata toka umezaliwa unasikiaga uwongo hapo lumumba
Hahahaaaa....... Uwongo wa Lumumba ni nafuu kuliko ule wa Ufipa!
 
E0o8wrhWQAAt5tk.jpg

1634221761646.jpeg

..Uhuru Kenyatta atatusemea na kututetea Watz.
 
Uminywaji wa haki za binadamu na utawala bora ndio vimetufikisha hapa tulipo, na tutaendelea kuwakilishwa kwa muda mrefu ujao tusipobadilika.
 
Hahahaaaa....... Uwongo wa Lumumba ni nafuu kuliko ule wa Ufipa!
makuzi yenu hayo shauliyenu iposiku ,mkuu kwann lakini baba ako atakuhenyesha mpaka lini Kuna muda muoneshe umekua ,funguka tell him(ccm-lumumba hapo) you are grown enough ,umri huo huwezi ambiwa haya maembe akati ndimu na ukakubali
 
Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.

Updates;
Wewe mbuzi wa kafara bila kuitaja cdm hupati mlo? Yaani umekuwa na ngebe mithili ya mawifi na wakewenza! Huku uzaramoni watu wa aina Yako wanaambiwa kuwa Wana ng'ong'o! Nawe unafit kwenye hiyo ng'ong'o kwani huna unalowaza zaidi ya kujipendekeza ccm Kwa kuichafua cdm kwenye Kila Uzi wako! Au nawe wanakugombea Kama yule wa act?
 
Wewe ni mjinga kiasi gani jameni? Kwani Tanzania ni mkoa wa Kenya ndio Uhuru aitetee kwa biden? Laumu magufuli kwa weak diplomacy ya kuita watu 'mabeberu'
Suluhu alikua Newyork akashindwa kuongea na biden sababu hajui kizungu na diplomacy.

..Samia anamuita Uhuru kaka.

..sasa kaka atashindwa kumsemea dada?
 
CCM wanaita wazungu 'mabeberu' biden akiwa mmoja wao.

..huo ulikuwa upumbavu wa serikali ya awamu ya 5.

..Maza amekwenda UNGA na kuiambia dunia nzima kwamba anaamini ktk mahusiano mema na ushirikiano baina ya mataifa.
 
Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao.

=======

Biden Welcomes Kenyatta to the White House

U.S. President Joe Biden hosts his Kenyan counterpart, Uhuru Kenyatta, today in Washington. Kenyatta is the first African leader to meet with Biden at the White House since he became president.

The two are expected to discuss a range of issues, from economics and security to climate change and human rights.
Wachina wanamdai help zao anaona Bora akaoganise soft loan huko
 
Back
Top Bottom