marekani

  1. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mtambo wa kuzalisha Megawati 20 za umeme umewasili Nchini ukitokea Marekani

    Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme. Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
  2. JamiiForums Tanzania Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za Marekani kwenye Facebook

    Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook. Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021 Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  6. JamiiForums Tanzania Tala watakuwa wamefilisika, mkopo wa elfu kumi vigezo lukuki kama unaomba viza ya Marekani

    Hawa majamaa kumbe sio wa kweli, ukiwa mtandaoni wanajinasibu sana kuwa unapewa mkopo ndani ya masaa machache, nimeanza kuparangana toka juzi tena wanakomandi kuanza na elfu kumi ajabu ni kuwa kila nikiattach vinakuja vigezo vingine Kwa chini mpaka barua ya mtendaji na wadhamini watatu...
  7. JamiiForums Tanzania Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

    Aiseee hili litakua ni ajabu la Tisa la Dunia. Wairan washangilia timu Yao kufungwa na Marekani kwenye michuano ya kombe la Dunia, wengine waonyesha bendera ya Marekani na kuimba "Marekani, tuko nyuma yako". Nini kimefanya mpaka wamefika hapa, bado nipo kwenye mshangao!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yapitisha sheria itakayotambua ndoa za jinsia moja

    Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support By Brianna Herlihy Published November 29, 2022 The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61 to 36, which will require the federal government to recognize all marriages, including same-sex...
  9. JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani yasalimu amri katika vita ya kiuchumi na Venezuala

    Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikiiwekea ajenda za kuikwamisha Venezuela hasa katika sekta ya mafuta. Vikwazo hivyo viliitikisa sana Venezuela na kuirudisha nyuma kiasi kwamba watu walipanga foleni kwa siku kadhaa kupata lita moja ya petroli, taifa shujaa la Iran lilisimama na wavenezuela na...
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa yatahadharisha watu wao kwenda Marekani

    Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani sana na mataifa madogo yalillalamika kwa kunyimwa fursa ya kutemmbelewa na wamarekani. Hiyo ilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

    Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2. Binti...
  12. JamiiForums Tanzania Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta

    Nov 26, 2022 02:33 UTC Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani. Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Facebook kuwa: Iwapo mpango huu utatekelezwa barabara...
  13. JamiiForums Tanzania Kanye West atangaza nia ya kugombea tena Urais 2024

    Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video yake ya kwanza ya Kampeni, West anasema alimwomba Rais Mstaafu Donald Trump kuwa mgombea mwenza wake...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  17. JamiiForums Tanzania Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

    Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso. Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi...
  18. JamiiForums Tanzania Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

    American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
  19. M

    JamiiForums Tanzania NASAMS (Advanced Air Defense System) toka Marekani ilikuwa imepiga usingizi au?

    Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana! Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa hewa chafu wa jeshi la Marekani wachangia mabadiliko ya tabianchi duniani

    Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto zinaozidi kuongezeka za mabadiliko ya tabianchi duniani. Nje ya mkutano huo, utoaji wa hewa chafu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…