Tala watakuwa wamefilisika, mkopo wa elfu kumi vigezo lukuki kama unaomba viza ya Marekani

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,840
Hawa majamaa kumbe sio wa kweli, ukiwa mtandaoni wanajinasibu sana kuwa unapewa mkopo ndani ya masaa machache, nimeanza kuparangana toka juzi tena wanakomandi kuanza na elfu kumi ajabu ni kuwa kila nikiattach vinakuja vigezo vingine Kwa chini mpaka barua ya mtendaji na wadhamini watatu, nikamaliza hilo.

Baada ya hapo wanataka kitambulisho cha nida nikaweka lakini bado tu. Wakurungwa kama Kuna mtu amewahi kukopa Tala wewe uliwezaje mbona kama Hakuna dalili zozote au wamefilisika.

images%20(12).jpg
 
Back
Top Bottom