marekani

  1. Mkalukungone Mwamba

    Walinzi wa Wake wa Marais wa Rwanda na DRC Wazozana Katika Hoteli nchini Marekani

    Maafisa wa usalama wanaomlinda Mke wa Rais wa Rwanda, Jeannette Kagame, na wale wa Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Denise Nyakeru Tshisekedi, walihusika katika mzozo mkali kwenye hoteli moja mjini New York. Tukio hilo lilitokea wakati viongozi hao wawili walipokuwa nchini...
  2. Waufukweni

    Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

    Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
  3. Yoda

    Kumbe Marekani ndio inapokea pesa za mauzo ya mafuta ya Iraq! Sasa hii ina tofauti gani na ukoloni?!

    Nilikuwa siwaelewi watu waliokuwa wanasema Marekani iliivamia Iraq kwa sababu ya mafuta, huenda pia kwa sababu wao walikuwa wanaongelea uporaji wa mafuta kana kwamba makampuni ya Marekani yanachimba mafuta halafu yanajiuzia tu mafuta na kuondoka na pesa kubabe au kifisadi wanavyojisikia...
  4. Webabu

    Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

    Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo. Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
  5. Webabu

    Kumbe Marekani inajisemesha mwenyewe. Haizungumzi na Iran

    Vyombo vya ulinzi vya Iran na viongozi wao baada ya kuulizana wote wamesema hakuna mwenye taarifa ya kuwepo kwa mazungumzo na Marekani kama alivyosema raisi Trump ili kumalizia vita kati yao. Kama madai hayo ni kweli basi Marekani tayari imepata ule ugonjwa tunaouona barabarani kwa watu...
  6. R

    Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

    Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani. Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
  7. Wakusoma 12

    Trump amedai Iran imetoa “zawadi kubwa” kwa Marekani

    Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi. Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Hata...
  8. Mohamed Said

    Vita Vya Iran: Kujikwaa Kwa Marekani na Israel

    https://youtu.be/PdXjNx7rleo?si=9vAls46PFIyAfj_Y
  9. MALCOM LUMUMBA

    Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

    Mwaka 1907 Balozi wa Uingereza nchini Ujerumani Eyre Crowe aliaandaa andiko zito "The Crowe Memorandum" na kulituma London. Mle ndani alisema kwamba Ujerumani inakusanya chuma na mainjiania kwa siri, jambo ambalo linaashilia kwamba wanategengeza silaha na kujiandaa kijeshi. Mwaka 1907...
  10. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  11. JaxenDL

    Watoto 208 wauawa Iran kwa mashambulizi ya Marekani na Israel

    (CHANZO CHA PICHA, REUTERS) Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208. Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
  12. Webabu

    Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

    Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
  13. O

    Inawezekana Kuna Mgawanyiko wa Madaraka Iran baada ya kufanyika mazungumzo kati ya Marekani na wawakilishi wa siri wa Iran

    Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe. Nchi hiyo haionekani tena kuwa na msimamo mmoja, hasa kutokana na ushawishi mkubwa wa Islamic...
  14. R

    Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

    Muda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao. Imedai kauli ya Trump iko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kama njia ya kupata...
  15. M

    Je huu ndiyo mwisho wa ubabe wa Marekani na kufutwa Mashariki ya kati?

    Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
  16. Dalton elijah

    SI KWELI Bobi Wine amekutana na Rais Donald Trump

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, yakimuonesha aliyekuwa mgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine, akidaiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump. Hata hivyo, ukweli ni kwamba picha hizo zinazosambaa mitandaoni zimetengenezwa kwa kutumia...
  17. M

    Wanaoshangaa nchi za kiarabu kuungana na Marekani dhidi ya Iran hawajui historia

    Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina. Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa. Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam. Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam. History hujirejea. Wakiristo...
  18. Echolima1

    Iran imejaribu kushambulia kisiwa cha Diego-Garcia kwenye Kambi za Marekani na Uingereza

    Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
  19. Mi mi

    Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

    Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya. “Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki...
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
Back
Top Bottom