Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
afariki dunia
amekufa
bernard membe
buriani
hospitali
jasusi
kamanda
kifo
kitabu
mambo ya nje
maombolezo
marehemu
mazishi
mbowe
membe
mkubwa
musiba
nyumbani
picha
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.
Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.
Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli.
Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe kama kweli hizo sifa mnazompa ndizo basi mliamuaje kumpiga benchi kijana wa kitanzania na...
Tulikuwa tumekaa sehemu tunatafakari safari yetu ya maisha kwa hizi piga nikupige za hapa na pale, baadaye tunasoma breaking story ya kifo cha camaraderie Bernard Camirius Membe.
Binafsi nilienda moja kwa moja kwenye kumbukukumbu za kampeni za urais mwaka ule ambao marehemu aliondoka kwa gafla...
Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia.
Membe ambaye...
Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay
STORY INAANZIA HAPA......
Kimzik Mr blue ni mkongwe Zaid kuliko alikiba na blue ndie msanii alianza mziki ktk umri mdogo...
Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏
Viatu vya huyu baba havinitoshi
===
Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake...
Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka.
Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta?
Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa.
Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
Wanasiasa wa nchi hii baada ya kuona upepo hauko upande wao, wananchi wanamuenzi alie kuwa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha mioyo yetu. Wameungana CCM na CDM ili tu walambe asali za nchi hii vizuri.
Wakiwa kwenye mikutano ya hadhara hadi wanaogopa kulitaja jina la JPM kwa mazuri yoyote aliyo...
Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea.
Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
Mbunge wa Singida Mashariki mh Miraji Mtaturu amesema Tundu Lisu amerejea alikokuwa kimya kimya Baada ya kuona Wana wa Ikungi wameshaachana na mambo ya Upinzani
Mtaturu amesema hata Mbowe alishangaa kukuta Wapinzani kiduchu Ikungi hali iliyofanya amuhiji Tundu Lisu " Ulisema Ikungi kuna...
Nimekumbuka tu baadhi ya maneno ya mwisho kwa Wapendwa wetu, mengine nimeyapata mtandaoni!
1. Mama kwanini umeniacha?
2. Nitawaambiaje Watoto watakapouliza Mama yuko wapi?
3. Ulisema nije tuongee, mbona umeondoka?
4. Amka nikuage mara mwisho.
5. Baba, ungeniambia mapema kuwa unaondoka!
6. Si...
Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA.
Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro.
Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
Kumbe Marehemu Mrema akiwa Hai aliacha kabisa Maagizo kuwa Akifa asipelekwe Kuzikwa Kilimanjaro (Moshi) na badala yake azikwe hapa hapa Mkoani Dar es Salaam na kwamba Watakaolazimisha Kumsafirisha basi wajiandae Kuondoka nae rasmi Duniani (Kufa) kama ilivyotokea.
Najua wapo mtakaolibishia hili...