Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka mazikoni.
Mpaka leo Polisi idara ya Usalama barabarani haijatupa mrejesho juu ya kukamatwa kwa dereva huyo na basi husika.
Ajali ile iliharibu vibaya gari iliyobeba mwili kiasi cha jeneza kufunuka. Dereva na aliyekaa mbele kuumia vibaya pampja na Landcruser nyeupe ya meneja wa Harmonize kuharibika