marais

Marais or Groupe Marais, founded in 1962 in France, is a manufacturer of trenchers. The head office and workshop buildings have been located in Durtal since 2001. Marais society via its founder, Jacques Marais is in 1962 behind the trenching wheel and the mechanized laying of cables or flexible pipes process.
At present, MARAIS line includes mainly wheel trenchers, chain trenchers, and micro trenchers.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  2. benzemah

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini. 2...
  3. kavulata

    Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

    Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu). Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati...
  4. M

    Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia, Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
  5. R

    Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  6. benzemah

    Rais Samia Kuongoza Marais wa Afrika katika Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF)

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki. Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
  7. M

    Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  8. The Supreme Conqueror

    Majina ya kificho ya Marais wa Marekani (Code names) na maelezo ya maana yao

    Hapa ni orodha ya majina ya kificho ya Marais wote 45 wa Marekani, pamoja na maelezo ya maana yao: 1. George Washington - 711 - Hii ni nyongeza ya kulingana na nambari ya maduka ya Liquor ya Mount Vernon. 2. John Adams - Calvin - Jina la kificho lililobadilishwa kutoka jina la Adams 'Calvinist...
  9. JF Member

    Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  10. Uhakika Bro

    Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

    Kwanini asivae suti kali? Kwanini avae tisheti tu? Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why? Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye...
  11. P

    Marais wanacheka na kuteta kirafiki sisi mtandaoni tunaandikiana laana na kila aina ya matusi

    Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile 'yangu' kila tunapoongea na Mungu. Kazi yangu, mume wangu, mke wangu, watoto wangu, nyumba yangu...
  12. KING MIDAS

    Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

    KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
  13. K

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza? Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa...
  14. K

    Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

    Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba? Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa? Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili...
  15. S

    Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
  16. BARD AI

    Marais wa Afrika waliofariki wakiwa bado Madarakani

    Ni kumbukizi ya miaka miwili tangu Kifo cha aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, maarufu kama JPM au Chuma. Aliyekuwa Makamu wa Rais wakati huo, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alitangaza kifo cha Hayati Maguli Machi...
  17. T

    Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  18. T

    Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
  19. ChoiceVariable

    Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  20. D

    MAPENDEKEZO: Katiba Mpya iruhusu Marais Wastaafu kugombea wakitakiwa na wananchi

    Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM". Hata hivyo, kama...
Back
Top Bottom