kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,317
- 12,617
Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu).
Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati mbaya tu hiyo bahati mbaya itaondokaje na kama inapangwa ni nani anapanga na kwanini?
Haya madhebu mengine ya Kikristo yana shida gani?