Marais or Groupe Marais, founded in 1962 in France, is a manufacturer of trenchers. The head office and workshop buildings have been located in Durtal since 2001. Marais society via its founder, Jacques Marais is in 1962 behind the trenching wheel and the mechanized laying of cables or flexible pipes process.
At present, MARAIS line includes mainly wheel trenchers, chain trenchers, and micro trenchers.
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
Yaani kuna wachawi wanaroga wananchi wa inchi nzima halafu mnakuwa kama maiti zirizo lala hakuna wa kuhoji wala kuuliza,
wale wazee wenzangu mliokuwepo wakati wa utawala wa nyerere mtakuwa mnalikumbuka hilo
Yaani Rais inchi nzima inaiweka kwenye kiganja chake anawafanya anavyotaka,
ngoja...
Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo.
Sababu kuu za kutokupendwa kwake
1...
Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki...
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE
1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania
2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia,
3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia
4. Joyce Banda- Malawi
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA.
Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.
Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?.
Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?.
Wako wapi??.
Sasa pimeni hili, Tazameni...
Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa?
Angalia mfano wa...
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe
1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)
2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)
3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)
4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)
5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
Tanzania- full dikteta
Kenya - full dikteta
Uganda - full dikteta
Rwanda- full dikteta
Burundi- full dikteta
Kongo-full dikteta
Mozambique-full dikteta
Tunazidiwa na nchi Kama Zambia
Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.