Nafikiria kubadili aina ya marafiki nilionao.

Nafikiria kubadili aina ya marafiki nilionao.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,624
Mko salama?
Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu.
Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
 
Utabadilisha mpaka lini wakati watu ndio sisi? Jitahidi usimlaumu mtu kwenye maisha yako bali kaa style ya kujifunza kila mara.

Hasira zako na maamuzi yako huenda vikakuchelewesha zaidi... Haohao unaotaka kuwaondoa kwenye maisha yako jitahidi uwatumie kwa namna nyingine hata kama ni kuwatoa kafara ili wewe ufanikiwe 😄😄
 
Hapo umenena. Ni mwendo wa kuwalimisha kwenye mashamba ya mkonge tu kama misukule.
 
kila mtu analinda kile alichonacho shiling ikishaingia kutoka ni mtiti balaa

Hivi unajua kuna watu wako radhi kulala au kushinda njaa ilimradi tu wasitumie hela zao yan wazione tu ndio raha yao😆
Mimi hapana kwakweli sasa unashinda na njaa alafu ukija kuumwa madonda ya tumbo unaingia tena gharama kujitibu huo ni uzwazwa..
Mimi kwenye swala la afya ni la lwanza na nachukua kila precautions maana kujitibu ni gharama sana na kunafilisi sio mchezo.
 
Set firm boundaries and prioritized your own financial stability before giving away your hard earned money,

Regarding your friends who consistently absent,dismissive or unsupportive when you face hard times,it's a strong sign that you should reevaluate or distance yourself from these connections,

Friendships are build on mutual care,a lack of support means a one-sided relationship that drain your emotion energy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom