Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

inawezekana na unaishi vizuri tu
kwenye hii dunia ya sasa jijenge ku survive alone
 
Huwezi kuishi bila marafiki?
 
Kuna wengine wanakua na watu wanaofahamiana tu ila sio marafiki
Ni salamu story imeisha
Hii ni kawaida kabisa. Kuna watu wamepitia mishale mingi kwa hiyo maisha yao ni wao na familia zao
 
Kadiri unapokuwa na marafiki wengi ndipo unapojitengenezea maadui wengi kwani adui atoki mbali..Rafiki yako ndiye Adui yako..kikulacho ki nguoni mwako...Lakini pia haikatazwi kuwa na marafiki wengi kwani ni fulsa pia..
 
Sidhani kama inawezekana kuwa na marafiki wengi zaidi itakua ni watu mliozoeana tu ila sio wote marafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom