mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Graduate Mechanical Engineer at North Mara Gold Mine Limited - 4 posts

    POSITION DESCRIPTION: North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit four (04) Graduate Mechanical Engineers to join Underground Maintenance team. The successful candidates for this position will carry out assigned Mechanical tasks within the guidelines of Company Standard...
  2. U

    RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

    Wadau wa JF Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
  3. Mdogo wangu Metacha 'Poti' Mnata, Meneja wako Jemedari Said atakuponza na Yanga SC 'watakuua' sasa!

    Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
  4. Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

    Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana ' Kutudhalilisha ' Simba SC usije Kunilaumu. Kichwa cha Habari cha 'Mwanaspoti' la Leo Jumatano tarehe 16...
  5. Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  6. Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  7. Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
  8. Supply and Commercial Manager at North Mara Gold Mine Limited

    POSITION DESCRIPTION: Reporting to: General Manager North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit Supply and Commercial Manager to join our team. The successful candidate for this position will effectively manage all the activities specified within the position profile at North Mara...
  9. Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

    Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu. Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na...
  10. K

    Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
  11. Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

    Kenya kainchi kadogo kenye raslimali chache, ila tunajtuma mithili ya sisimizi, sijui lini Watanzania wataamka na kufanya chochote cha maana, GDP yetu inaelekea kuwa mara mbili ya Tanzania, ukizingatia Tanzania ni muungano wa mataifa mawili yenye raslimali kedekede, sijui wana gubu au nini hawa...
  12. Pale unapokutana na Mwenyekiti kwa mara ya kwanza

    Furaha ya kweli kutoka moyoni!🤗🤗🤗Shangazi alievaa blue roho yake imesuuzika kwa furaha kwelikweli.
  13. Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano 👉Waptrick 👉Toxicwap 👉Redwap Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
  14. Kenya to expand Maasai Mara airstrip

    The government is set to acquire 44.7 hectares of land for expansion of Angama Airstrip located within the Maasai Mara National Reserve in a bid to boost connectivity to a tourism-rich area. National Land Commission chairman Gershom Otachi said the State will make a compulsory acquisition of...
  15. Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia askari watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wamemaliza muda wao wa kujitolea, wakisubiri ajira za muda wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa Rwamlimi manispaa ya Musoma, Paulo Joseph, maarufu kama...
  16. Boniface Getere: Miradi inayopita Butiama ina shida gani? Barabara haijakamilika tangu 2013

    Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza Ameeleza, "Miradi inayopita Butiama kuna shida gani? Katika mradi ambao unatia aibu katika Mkoa wa...
  17. W

    Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  18. W

    Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  19. Kwa mara ya kwanza CCM na Chadema tunaweza kusimamisha mgombea mmoja 2025

    Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa. CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa...
  20. Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…