Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,200
6,890
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.

Wakati nazunguka nilifika katika banda moja ambalo lilikuwa na wadada ambao walikuwa wakinadi bidhaa zao nikauliza maswali yangu pale mwisho nikaomba business card ya aliyekuwa ndio boss pale ambaye alikuwa ni mdada mmoja mzuri sana kuanzia rangi na umbo kwa ujumla kwa ufupi alikuwa amekamilika.

Baada ya siku kadhaa nikawa namtafuta kumjulia hali akawa mzito kujibu text zangu, mwanzo nilionesha kukata tamaa ila upande mwingine wa nafsi yangu ulisema hapana endelea kumtafuta mbona kama alivutiwa na wewe tangu ulipokanyaga banda lao pale.

Kweli bwana nikaendelea kuwasiliana nae nakumbuka nilisafiri kuja mkoa X alipo ikanibidi nikamtafuta tu kujua anaendelea vipi na mwisho nikamwambia nipo mkoa uliopo kwa wiki kadhaa na ningependa sana tupate chakula cha usiku pamoja mimi na wewe sehemu X, kwa ufupi aliitika wito siku hiyo tulizungumza mengi na hapo ndipo nikatokea kujua udhaifu wake upo wapi?

Nikaendelea kuwasiliana nae na tukawa tunaonana nae kila mara nilipokuwa nasafiri kwenda mkoa aliopo, hadi mwaka huu mwezi uliopita alinitafuta mwenyewe maana alikuwa akijua ratiba pindi nifikapo mkoa X kikazi akanipigia simu akanijuza kuwa “Leo anataka tulewe tucheze mziki pamoja” eeh nikasema nini kimemkumba huyu mrembo.

Siku hiyo nilimstaajabu sana maana alikuwa mchangamfu kupitiliza nikamuuliza kila kitu kipo sawa akanijibu “tutazungumza D” nikamwambia muda umeenda itabidi ukapumzike sasa, itabidi nikusindike ukapumzike kitu alichonijibu ni kwamba “Leo utakapoenda kulala na mimi ndipo nitalala” aisee nilisikia sikio linalia nziiiiiiiiiiiiiii kwa wale waliowahi kupigwa makofi kwenye sikio wanaujua vyema mlio huo wa sikio.

Kwa ufupi tulijikongoja hadi nilipofikia na kweli tulifanya ya kufanya niwe muwazi yule binti alikuwa fundi sana ingawa ana watoto wawili ili maungo yake yalikuwa bado ni kama ya wale mabinti wadogo, nikiri tu ingawa alikuwa ni mke wa mtu ila nilishangaa sana yeye kuwa na nyege kiasi kile.

Kisa cha kuleta uzi huu ni kwamba mwanamke yule hakuwahi kufikiria ku- cheat ila sasa amenitamkia ya kwamba ataniheshimu na atamheshimu mke wangu ila tu anaomba niwe mtu wake wa pili na yuko tayari kufanya chochote ninachotaka ili tu awe na mimi.

Hapa bado nipo kwa tafakuri zito maana nakumbuka miaka ya nyuma nilibahatika kutoka na dada mmoja ambaye pia ni mke wa mtu ila nilijikuta natumia gharama nyingi sana kwake mfano; kumuongezea mtaji katika biashara yake na kulipia kodi mara nyingi hivyo nahofu yaleyale yasije yakajitokeza kwa huyu tena.

Naombeni ushauri nimfanyaje huyu mke wa mtu.

NB
Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo.
 
1. Mkuu, kwa imani yangu inanieleza kuwa, usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.

2. Leo utaona huyo mtu unammudu, mtu akishatambua uovu anaofanyiwa, yupo tayari kulipa, huwezi kujua anafahamiana na nani ama nani atamsaidia ili kulipa.

3. Kesi ya ugoni, utakachofanyiwa hakina tofauti na mwizi.

4. Utakuja kuharibu familia yako daima kwa tamaa hizi ambazo umezishikilia kwa mke wa mtu.

5. Unaweza ukasoma haya yooote na bado ukajipa imani kuwa hayawezi kukutokea, unajua nini? Ulizia wooote waliowahi kupatwa na madhara ya ugoni, wameshawahi kufikiria kuwa watakamatwa?

6. Umemuoa mke wako, mpende na kumheshimu sana. Heshimu mama yako mzazi, heshimu pia mke wako.
 
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
Huwezi pia kuwa tishio kwa kidume kinachompa liwazo mkeo unapokuwa safarini.
Fanya toba na ikimbie zinaa.
 
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.

Wakati nazunguka nilifika katiba banda moja ambalo lilikuwa na wadada ambao walikuwa wakinadi bidhaa zao nikauliza maswali yangu pale mwisho
Huyo mwanamke umepima nae Ngoma? Maana mume wake ni mtu wa safari, Je huko safarini anatumia zana? Kama hatumii? Na wewe ni mtu wa safari mkikutana zana huwa mnatumia?
 
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
Boko wala wenzio boko nawako analiwa
 
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
What goes around comes around. Kama unamchapia mwenzako jua na wewe unachapiwa.
 
Hata Mfalme Daudi alikuwa anammuda Askari wake na akamchukua mke wake. Lakini Mungu alimuadhibu parefu Sana.

Ushauri: Acha kabisa kuwa na mahusiano ya ki ngono ma mke wa mtu. Utajitafutia laana zisizo na sababu. Halafu, mbona mademu wapo wengi tu, kwa nini ukaingilie ndoa ya mtu mwengine?
 
Back
Top Bottom