mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ikiwa tozo na VAT zina kiwango sawa, tafsiri nyepesi ni kwamba VAT imeongezeka mara 2

    Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double. Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wagonjwa kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti moja ya sababu kuyumba kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti. “Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili. Hizi hapa nukuu za Mbowe... “Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Shell: Mgogoro wa nishati utakuwa kipimo cha umoja wanachama EU. Bei yapanda mara 30(3,000%)

    Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi. Maoni ya Mkurugenzi huyo anaeongoza kampuni kubwa zaidi barani Ulaya ya mafuta na gesi yanafatia...
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa. Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unasumbuliwa na magonjwa/maradhi yanayo jirudia mara kwa mara?

    Maradhi, magonjwa yasiyo patiwa ufumbuzi wa haraka,huleta madhara makubwa hata kepelekea kifo. Unaweza kuepuka madhara hayo, Kwa kupata watalaam wazuri wa afya, Wenye vifaa vyenye uwezo mkubwa Katika kuchunguza na kubaini vyanzo vya Maradhi, magonjwa yanayo kusumbua mara kwa mara. Wanapo...
  8. JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  9. JamiiForums Tanzania Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

    Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

    Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya. Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond. Adam Mchomvu akamuuliza amewahi kushika Kiasi gani cha pesa kwa mara moja Barbaba Classic akadai Tz Shillings...
  12. JamiiForums Tanzania Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

    kuna hii tabia inakera sana kuna baadhi ya watu katika makabila flani wakishaona ndugu / kaka / dada yao katoboa ama ndugu yao wa kike / dada yao kaolewa na mtu mwenye maendeleo si haba basi huenda kujazana huko. Wanakula na kulala hapo bila kazi maalum. Nyuma ya hii tabia hakukosekani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ikatwe mara mbili kwa kipato hicho hicho kimoja?

    Sio kwamba hatutaki kutozwa kodi. Swali la msingi la kujiuliza ni kwanini makato yawe zaidi ya mara moja kwa kipato kimoja? Mshahara unakatwa kodi (PAYE), bank husika wanakata service charge. Wakati wa kutoa unakatwa salio la kutolea. Na bado serikali ikate tena tozo. Huu ni uonevu...
  17. JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ifikapo saa moja usiku mpaka saa nne

    Ndugu wahusika, Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote. Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
  20. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…