Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,808
Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi.

Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Hizi adhabu za miaka 30 naona hata hazizuii ubakaji mambo yako palepale mawazo mapya yanahitajika.
 
Hizi adhabu za miaka 30 naona hata hazizuii ubakaji mambo yako palepale mawazo mapya yanahitajika.
Hazizuii mana nyegezi bado zipo kwa wingi..ila zimepunguza matukio.

Pia hiyo miaka 30 kama adhabu ni kukomoana tu 15 inatosha sana na adhabu nzito tunapoteza nguvu kazi mtaani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Vipi wakatwe nyeti??
Hapana labda wapatiwe tiba, high levels of testoterone inasabisha nyege za kupita kiasi, kuna dawa za kuballance mambo yanakuwa sawia.
Pia Mental health ni moja ya tatizo.
 
Back
Top Bottom