mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake msijisafishe Sehemu za siri mara kwa mara

    Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukifanya Mapenzi mara kwa mara unakuwa hatarini kupata UTI

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke Dkt. Ikrah Abdallah ametoa wito kwa Jamii kutofanya tendo la ndoa mara kwa mara badala yake tendo hilo linaweza kufanyika angalau mara Tatu (3) au Nne (4) kwa wiki ili kuondokana na hatari ya kupata UTI...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu kuingia maridhiano na CCM hakusikia kabisa. Nakumbuka kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza, tarehe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu

    Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu! Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana. Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na...
  6. JamiiForums Tanzania Mara: Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING warejesha mgomo, walala ofisini wakisubiri mshahara

    Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
  7. JamiiForums Tanzania Buy it for Life: Tujuzane brand ama model za bidhaa zinazodumu kwa muda mrefu ili tuepukane na usumbufu wa kununua upya

    Uzi huu tujuzane bidhaa zenye viwango vya juu hasa kwa wale wasio na pesa za ziada za kununua upya kitu kile kile ama wanaopenda kukaa na vitu vinavyodumu. Tujadiliane brand ama model za bidhaa zenye kutumika muda mrefu bila kuchoka ama kufubaa haraka, durable vyenye uwezo mkubwa wa kuhimili...
  8. JamiiForums Tanzania Mara: Uongozi Mgodi wa Cata Mining wasema utawalipa Wafanyakazi wake waliogoma kwa kutolipwa mishahara

    Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
  9. JamiiForums Tanzania Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

    Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi? Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
  10. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wafanyakazi mgodi wa CATA Mining Mara, waanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara, michango NSSF

    Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
  12. JamiiForums Tanzania Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  13. JamiiForums Tanzania Messi aongoza wanasoka waliotazamwa mara nyingi Mtandaoni 2023

    Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi mbalimbali kwa Mwaka 2023. Utafiti huo umeonesha mafanikio ya Kombe la Dunia na uhamisho wake kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

    Merry Christmas wakristo wote. Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka. Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
  15. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, • Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza. • Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana...
  16. JamiiForums Tanzania Quran imetaja neno 'Israel' mara 43, lakini haijataja neno "Palestina" hata kidogo

    Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Misiba ya watu wa Kaskazini hugeuka kuwa bonge la party mara tu baada ya watu kuzika!

    Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa. Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…