mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Mara pap uganda ifunge mto nile usitoe maji ziwa victoria kwa mwezi 1

    Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
  2. Emmanuel Ng'wiza

    JamiiForums Tanzania Je tumbo lako huvurugika mara kwa mara ukiwa ofisini?

    Kwa mfanyakazi anayeshinda ofisini akiwa ameketi kwa saa 8 au zaidi, maumivu ya tumbo mara kwa mara na mabadiliko ya ghafla ya kwenda chooni si tu kwamba yanapunguza ufanisi wa kazi bali yanatengeneza mazingira magumu ya kisaikolojia. Makala hii imeandaliwa maalum kabisa ili kuelimisha jamii ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tusiache kufanya checkup mara kwa mara

    Tusiache kufanya check up Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana ambalo sikuwai kuwanalo. Sikujua kwamba kumbe Mungu anatupenda kiasi kile , upendo ule ulipoingia...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LEMA waambie Wanagenge wenzio wanufaika wa Pesa za Kimama, Acheni Mara Moja huo mchezo, Watanzania Hawatawasamehe, LISSU hatowasamehe !!

    TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!. Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania DC Tarime akumbusha katazo la kuendeleza maeneo yanayoguswa na mradi wa ujenzi wa bwawa la TSF – North Mara

    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika maeneo yanayoguswa na Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la TSF wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aliepanda kwenye mlingoti wa bendera akamatwa, Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Dickson Juma, mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Kiabakari, Wilaya ya Butiama, kwa tuhuma za kuingia bila kibali na kufanya fujo katika Kituo cha Afya Nyasho, Manispaa ya Musoma. Tukio hilo limetokea Septemba 9, 2026 majira ya saa 4:00 asubuhi, baada ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  11. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania MARA: Akwea mlingoti wa bendera uchi kumuona mwanae hospital baada ya kuzuiliwa kumuona

    #HABARI Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50 na 55 amesababisha taharuki katika Kituo cha Afya Nyasho, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, baada ya kupanda juu ya mlingoti wa bendera ya Taifa kufuatia kuzuiwa kuingia ndani ya kituo hicho kumuona mwanawe aliyelazwa. Mwanaume...
  12. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mlokole kwa mara ya pili

    Nipo zangu mgahawani napata chakula cha mchana,pale mezani nakutana na dada mtu mzima kiasi Wote tunakula ugali na dagaa,mboga ya majani na ndondo,yes maharage Sorry to say this in case wewe ni mlokole, hawa watu huwa lazima tu wajitambulishe kuwa ni walokole kwa namna yoyote ile, hupenda...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mara wamkana kiongozi aliyehamasisha maridhiano

    Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimemkataa Katibu wa mkoa huo Donald Felix Mwembe aliyesema kuwa chama hicho kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake John Heche kinatakiwa kuzungumza na watawala ili kufikiwa kwa muafaka wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Soma pia...
  14. Etwege

    JamiiForums Tanzania Zito Zuberi Kabwe nakuita mara tatu

    X(twitter) ya Zito Kabwe imepoaa mara tu baada ya Rais Samia kuapishwa urais wa nchi yetu. Kipindi Magufuli akiwa Rais (2016 -2021) twitter ya Zito Kabwe ilikuwa moto wa kuotea mbali ,alikosoa kila kitu cha Magufuli kuanzia tembea yake ,ongea yake, miradi, tumbua yake na hata unywele wa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haujafa leo kwa sababu haujafa leo, hakuna cha sijui haukuchaguliwa, mara siku yako haijafika ama haikuwa kwenye mipango

    AFYA DHAIFU UZEE AJALI KUULIWA KUJIUA AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita. Hakuna aliepangiwa siku ya kufa, hakuna cha umependwa sana ndio maana umeenda, hakuna cha kuwa umelaaniwa sasa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Inachekesha kuona wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Oct 29 ndio hao pia mashabiki wakuu wa hizo tume mara ya Chande mara ya Lila

    Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania DC Gowele ataka uangalifu zoezi la fidia TSF-North Mara

    DC GOWELE ATAKA UANGALIFU ZOEZI LA FIDIA TSF-NORTH MARA TARIME Mkuu wa Wilaya ya Tarima mkoani Mara Mhe. Meja. Edward Gowele, amewaagiza viongozi wanaosimamia zoezi la uthamini wa fidia eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF-North Mara kuwa makini dhidi ya wananchi wanaojiingiza katika maeneo...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  19. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia mara kwa mara

    Habar za wikiend wanajamvi. Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu. Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa. Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto. Ndoto hii mara zote...
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Matongo na Nyangoto kuelimishwa kuhusu uthamini wa fidia North Mara

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji vya Matongo na Nyangoto, kwa lengo la kujadili maandalizi ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusu zoezi...
Back
Top Bottom