Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji vya Matongo na Nyangoto, kwa lengo la kujadili maandalizi ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusu zoezi...
Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena!
Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi watu kama hawa ndio hujikuta wakiumizwa zaidi.
Anaweza kuwa rafiki anayekusimamia wakati wa...
Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi.
Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu...
Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi...
Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza.
Nimewahi kumuuliza kama...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake.
Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji.
Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥
Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali.
Hakuna mchezaji wa...
Wakuu,
Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne.
Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia).
Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
Wadau myimwike,
Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo.
Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya.
Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti inayozalisha nguzo za umeme na za TTCL.
Huu msitu ndio Jaili aliutumia kuchinja watu ambao alikuwa...
Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji.
Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa
Sare...
Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili.
Mwaka 1925, Lustig alijifanya kuwa afisa wa serikali ya Ufaransa na kuwaambia wafanyabiashara wa chuma chakavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.