Maradhi, magonjwa yasiyo patiwa ufumbuzi wa haraka,huleta madhara makubwa hata kepelekea kifo.
Unaweza kuepuka madhara hayo,
Kwa kupata watalaam wazuri wa afya,
Wenye vifaa vyenye uwezo mkubwa Katika kuchunguza na kubaini vyanzo vya Maradhi, magonjwa yanayo kusumbua mara kwa mara.
Wanapo...
Ndugu wahusika,
Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote.
Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake
- Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
Habari Wana Jamiforums natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo ota ikijirudia Mara kwa Mara kila Napo lala usiku.
Nimuda Sasa yapata Kama miaka Saba tangu nihitimu...
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
Kichwa cha habari chahusika.
TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa.
Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
#Kaziiendelee
Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara.
Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua...
Ndugu zangu nakuja kwenu kupata ufahamu kwa walionao, nina ndugu yangu binti wa miaka 28 amekuwa anasumbuliwa sana na tonses za mara kwa mara. Najaribu kuangalia mwenendo wake na hali hii ya kuwa na tonses za mara kwa mara napata shaka huenda akawa na complications. Nimejaribu kila njia...
Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi.
Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
Salaam kwenu wote
Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
Habari zenu wakubwa?
Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo.
Asanteni
Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.