mara kwa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  4. hyle master

    JamiiForums Tanzania Natafuta Huduma ya Akiba ya Fixed Term Inayoruhusu Kuweka Mara kwa Mara Bila Kutoa Mpaka Muda Uishe

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1 Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  6. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania 🩺 Je, Unakumbwa na Changamoto ya Kupoteza Mimba Mara kwa Mara?

    📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiographer | Health Educator 📲 IG: @hillary_officialtz Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba. BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali. 🔍 Dalili za BOH ni...
  7. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

    NRNE Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye. Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Zaylisa anaposema kuwa Mumewe Haji Manara hajui Kukumbatia na huwa Wanagombana mara kwa mara juu ya hilo wanataka Kutulazimsha tuhisi nini labda?

    Amesikika katika Mtandao mmoja akilalamika sana hivyo ninaomba mnaokumbatiwa na mnaokumbatia mtueleweshe.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni kiungo gani cha mwili wako unachokikagua mara kwa mara

    Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ibenge ameshachoka na Simu za mara kwa mara za Msomali Koko

    Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao. Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la nisaidie nipite) halafu ukampa Hela na akakuahidi kabisa kuwa hakuna wasiwasi ila baadae Shughulini...
  15. phzhenry

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

    WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
  16. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuishiwa nguvu mara kwa mara

    Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima kila aina ya kipimo, kama pressure,Moyo,eco,hiv, maleria na wingi wa dam pia uko vzuri tu na kila...
  17. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kwanini wanawake wajawazito hujamba ama kujisikia haja mara kwa mara

    Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa ujauzito: * Homoni: Mabadiliko ya homoni husababisha misuli ya utumbo kufanya kazi kwa kasi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu P2. Wanatumia Kama msosi mara Kwa mara

    MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni kifupi na Postinor-2, ni dawa inayotumika kwa dharula tu. Vidonge vya P2 havitakiwi kutumika kama njia...
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Usilivunje daraja ambalo unaweza kujikuta unalivuka mara kwa mara

    Hakika Maisha yana mambo mengi ya kushangaza na kustaajabisha sana,kuna mambo ambayo huenda hukuyategemea ukakuta yanatokea katika namna ambayo hukutarajia kabisa Unapovuka daraja na kwenda upande wa pili basi usilivunje hilo daraja kwakuwa tu umevuka upande wa pili,huenda kuna siku ukahitaji...
  20. Good Father

    JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo sio...
Back
Top Bottom