mara kwa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  2. JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  3. JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  5. JamiiForums Tanzania Gari lako linasumbua mara kwa mara?

    Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu. Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Huduma ya Akiba ya Fixed Term Inayoruhusu Kuweka Mara kwa Mara Bila Kutoa Mpaka Muda Uishe

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1 Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
  10. JamiiForums Tanzania Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  11. JamiiForums Tanzania 🩺 Je, Unakumbwa na Changamoto ya Kupoteza Mimba Mara kwa Mara?

    📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiographer | Health Educator 📲 IG: @hillary_officialtz Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba. BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali. 🔍 Dalili za BOH ni...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

    NRNE Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye. Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  14. JamiiForums Tanzania Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Zaylisa anaposema kuwa Mumewe Haji Manara hajui Kukumbatia na huwa Wanagombana mara kwa mara juu ya hilo wanataka Kutulazimsha tuhisi nini labda?

    Amesikika katika Mtandao mmoja akilalamika sana hivyo ninaomba mnaokumbatiwa na mnaokumbatia mtueleweshe.
  17. JamiiForums Tanzania Ni kiungo gani cha mwili wako unachokikagua mara kwa mara

    Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
  18. JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  19. JamiiForums Tanzania Ibenge ameshachoka na Simu za mara kwa mara za Msomali Koko

    Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao. Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la nisaidie nipite) halafu ukampa Hela na akakuahidi kabisa kuwa hakuna wasiwasi ila baadae Shughulini...
  20. JamiiForums Tanzania WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

    WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…