mara kwa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  2. ELI COHEN

    Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  3. ngara23

    Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  4. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  5. RoadLofa

    Msiache kujaribu kuomba kazi mara kwa mara

    Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
  6. Samia atosha tukutane2030

    2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  7. Damaso

    Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  8. Bi zandile

    Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  9. U

    Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  10. jerry spare parts service

    Gari lako linasumbua mara kwa mara?

    Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu. Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na...
  11. sanalii

    Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  12. A

    KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  13. A

    Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  14. hyle master

    Natafuta Huduma ya Akiba ya Fixed Term Inayoruhusu Kuweka Mara kwa Mara Bila Kutoa Mpaka Muda Uishe

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1 Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
  15. ngara23

    Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  16. Genesis_2030

    🩺 Je, Unakumbwa na Changamoto ya Kupoteza Mimba Mara kwa Mara?

    📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiographer | Health Educator 📲 IG: @hillary_officialtz Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba. BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali. 🔍 Dalili za BOH ni...
  17. kiss ov love

    Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

    NRNE Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye. Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
  18. Yoda

    Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  19. JamiiCheck

    Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  20. kipara kipya

    Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
Back
Top Bottom