mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tegemea haya unapoacha pombe, bangi au sigara, kimoja kitakurudisha uanze upya, kingine kitakufanya uache kuwa mraibu na kuanza maisha mapya

    Kwa kuanza niseme tu kwamba kama vilevi hivyo havikuathiri kimaendeleo basi we endelea tu kuselebuka, Wapo watu kama kina snoop dog wanavuta bangi kwa muda mrefu na maisha yao wala hayana shida zaidi ya kutoboa zaidi. Maada hii ni kwa wale ambao wanataka kubadili maisha yao na kuona wazi kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM haijengi magereza mapya? Je, kiwango cha uhalifu kimepungua au wao ndio wahalifu wenyewe wamehalalisha wizi, na ufisadi?

    Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana. Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
  4. JamiiForums Tanzania Mzozo wa DRC: Matumaini mapya baada ya mazungumzo ya Amani ya DR Congo kuanza nchini Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto (aliyekaa kushoto), Evariste Ndayishimiye wa Burundi (katikati) na rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta (kulia), pamoja na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa katika mziwa makuu Huang Xia (wa 3 kutoka kulia kwa waliosimama) Nairobi Kenya Nov 29, 2022 Rais wa Rwanda Paul...
  5. JamiiForums Tanzania 'Ngono Biashara' chanzo cha maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021. Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua makao makuu mapya

    Ijumaa, Oktoba 28, 2022 Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30, 2022 huku Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ndiye atakayekuwa mgeni rasmi. Kulingana na taarifa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba ya kutuondoa utumwani ili tuanze maisha mapya ya uhuru

    Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani. Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mambo sita mapya niliyoyaona kwenye kikosi cha Simba kwa hivi karibuni

    Amani iwe nanyi Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo. 1. Mzamiru amezaliwa upya, nikiri kuwa nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakikosoa sana uchezaji wa Mzamiru Yasin...
  11. JamiiForums Tanzania Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

    Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa. Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha mapya ya Teknolojia

    MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kua 'data ni mafuta mapya', watafiti lazima wawe na ujuzi katika usalama wa mtandao

    "Data is the new Oil", Goodman alihoji katika kitabu chake, future crime (2015), ambapo alionyesha jinsi data inavyo tumika kutengeneza mabilioni ya dola kwa makampuni yanayo kusanya data kwa kutoa huduma mbalimbali za kidijikali. Alicho sema Goodman ni sawa na kile alichoandika O'Connor (2004)...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha Mapya

    Hii ni novela inayohusu suala la afya hususan uzingatiaji wa maambukizi ya UKIMWI kijamii. Ni wazi kuwa wadau wanaelewa jinsi ugonjwa huu ulivyoathiri taifa hasa tangu utangazwe kwa mara ya kwanza na hayati Rais Benjamini W. Mkapa, mwaka 2000. Inaonekana kama jamii hususan vijana hawazingatii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  18. JamiiForums Tanzania Unapokuwa na mtoto kuwa mwangalifu unapoanza mahusiano mapya

    Alice alikua jirani yangu huku Kwamtogole, nilipomfahamu Alice alikua mwajiriwa katika Taasisi ya Serikali. Alifika Dar akitokea mkoani baada ya mjomba wake kumsaidia kupata ajira hii kabla hajastaafu. Elimu ya Alice ni kidato cha sita. Alice alikutana na Bill aliyemuahidi ndoa, baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

    Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
  20. JamiiForums Tanzania Uingereza: Maambukizi mapya ya Monkeypox yafikia watu 57

    Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57. Takwimu hizo ni hadi kufikia jana usiku Mei 23, 2022, ambapo wagonjwa wanakumbwa na upere mkubwa mwilini ikiambatana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…