mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

    U hali gani, Mwana JamiiForums Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema, Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio. Je, Na wewe umepokea...
  2. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza yarekodi Maambukizi Mapya 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita

    Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19 Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
  5. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Ubunge usiwe na kikomo ili kupisha mawazo mapya?

    Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha. Soma > Olengurumwa...
Back
Top Bottom