mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Monica Mgeni

    Sikia makubaliano mapya kati Tanzania na jiji la Dallas, Marekani

  2. FRANCIS DA DON

    Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili? ============================ Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
  3. L

    Hainan – moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano wa sayansi ya kilimo kati ya China na Afrika

    Kisiwa cha Hainan hakifahamiki kwa waafrika wengi, kama ilivyo miji mingine ya China kama vile Beijing, Shanghai au Guangzhou, lakini inaaminika kuwa katika siku za usoni, kisiwa hiki kitakuwa moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano kati ya China na Afrika, haswa katika sekta ya...
  4. Q

    CCM ina ‘Succession Plan?’ Vijana wameiangusha. Je, wazee watakuja na mapya?

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeamua kuendelea kuwatumia wastaafu baada ya vijana kiliowaamini kina Ally Hapi, Sabaya, Makonda, Polepole, Bashiru kuwaangusha kiutendaji, na wengine baadhi kukosa radhi na kuanza kuwabeza Wazee kwa matusi kina Musiba, Musukuma, “Nafurahi Wastaafu Kutukanwa”.- Lusinde...
  5. John Haramba

    DART kuleta mabasi mapya 95 ya mwendokasi

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo. Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Dk. Edwin Mhede alibainisha hayo jana wakati akifungua mafunzo kuhusu mipango ya...
  6. G-Funk

    Tupeane muongozo juu ya maneno mapya toka TUKI

    Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri mtakavyopata. Yangu ni haya: 1. Kisopwa -Mwanamke anayependa kuomba omba hela hovyo. 2.Kifuvu -Mwanamke...
  7. Chendembe

    Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  8. M

    Wanaofanya sherehe za madarasa mapya wakati wapo kwenye msiba wa kufelisha nawashangaa

    Miaka ya hivi karibuni viongozi wa umma wameingiwa na tabia ya kusifu na kushangilia hovyo. Kupitia mitandao ya kijamii tunashuhudia wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakijisifia ujenzi wa madarasa kana kwamba nikitu ambacho hakikua kinawezekana. Hao hao viongozi wameandamwa na msiba wa shule za...
  9. Miss Zomboko

    Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
  10. N

    Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

    Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF. Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda...
  11. tang'ana

    Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

    Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu ya Membe na Gazeti la JAMHURI yaliyofanyika nyumbani kwake Mikocheni...
  12. Victor Mlaki

    Siasa ya ujenzi wa madarasa: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya na ujenzi unaohitaji kukamilishwa

    Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa...
  13. La Quica

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  14. M

    Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  15. CM 1774858

    Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

    Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe 06|01|2021 ==================================== Tanzania inajumla ya shule za sekondari 5,143 hii...
  16. GENTAMYCINE

    Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  17. Kipenzi Changu

    Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

    News za Simba zipo Simba App. PlayStore Simba SC #NguvuMoja App - Apps on Google Play Appstore
  18. BAK

    Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  19. Mystery

    Mabasi mapya ya DART yaliyokuwa yamezuiliwa sasa yameruhusiwa na kuanza kufanya kazi

    Toka mradi hui wa mabasi ya mwendo kasi, hivi sasa ni zaidi ya miaka 4 na hatujaona mabasi mengine mapya yakiingizwa Barabarani. Takribani miaka 2 iliyopita tulisikia "tetesi" kuwa DART walikuwa wameagiza magari mapya, lakini yalikuwa yamezuiliwa bandarini kutokana na kudaiwa kodi! Kwa kweli...
  20. Reginald L. Ishala

    Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

    U hali gani, Mwana JamiiForums Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema, Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio. Je, Na wewe umepokea...
Back
Top Bottom