mapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mafundi Wetu Ndio Wanaangamiza Magari Mapya? Tuchambue Ukweli

    Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
  2. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini. Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
  3. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Lissu na Gwajima wameleta maneno mapya kwenye Kiswahili Uchwara na Ponjoro

    Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara. Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima Kaja na ponjoro.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
  5. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Watu wengi huogopa kile kisichojulikana kwasababu zifuatazo..

    Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi: 1. Akili hupenda uhakika Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
  6. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Yafahamu Majimbo 8 mapya ya uchaguzi na majimbo 12 yaliyobadilishwa majina

    Majimbo Mapya 1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2 (a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga (b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala 2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1 Jimbo la Mtumba lililogawanywa kutoka Jimbo la Dodoma Mjini 3. Mkoa wa Simiyu-jimbo 1 Jimbo la Bariadi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Vietnam kufungua maeneo mapya ya ushirikiano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

    Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar. 'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya. Kwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili

    Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG). Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Makazi Mapya Kwa watu wenye vipato vya Kati Dar/Pwani

    Ndugu wanajamvi. Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu. Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

    Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela. Niliwahi waambia mtakuja...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  19. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yafungua matawi mapya Mugango, Sirari mkoani Mara

    Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime. Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za Benki...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
Back
Top Bottom