maprofesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Alisema Mara na Kagera kuna wasomi wengi huenda alichukua kipimo cha maprofesa wachache lakini kwa ujumla hata wasomi wa degree bado wako nyuma

    Mara na Kagera mara nyingi hutajwa kama mikoa yenye wasomi wengi, lakini madai hayo huenda yalitokana na vipimo vilivyozingatia kundi dogo sana la wasomi wa ngazi ya Maprofesa. Katika kipindi husika, idadi ya maprofesa nchini Tanzania ilikuwa ndogo sana, hata isiyozidi 100, na ndani ya kundi...
  2. G

    Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  3. N

    Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

    Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
  4. N

    Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

    Imehamishiwa jukwaa la ajira
  5. Ritz

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  6. Valencia_UPV

    Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

    1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM? 2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana. 3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
  7. Nigrastratatract nerve

    Familia yenye maprofesa wengi zaidi Duniani

    THE KINDIKI FAMILY 1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University; 2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor, KCA University; 3. Prof. Moses Mpuria Kindiki, a Political Economy and Development Researcher...
  8. U

    Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki ina maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4

    Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4! Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
  9. A

    Vyuo vingine Tanzania havina wasomi na Maprofesa?

    Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
  10. and 998 others

    Maslahi ya Maprofesa yapoje?

    Nilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
  11. GENTAMYCINE

    Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  12. I

    Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

    Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
  13. B

    Tahasusi mpya zakosolewa na Maprofesa wa lugha na Fasihi

    Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
  14. Kindeena

    Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

    KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi. “Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana -...
  15. and 998 others

    Citations za Maprofesa Bongo

    Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar. 1. Anthony Mshandete, 2439 citations https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG= 2. Kitila Mkumbo...
  16. and 998 others

    Penshen za Maprofesa zimekaaje?

    Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote. 1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni? 2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa? 3. Je baada ya kustaafu anaweza kumudu maisha Kwa kutegemea pensheni au ndo anageuka kero Kwa kuomba omba? NB: wasomi...
  17. ChoiceVariable

    Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

    Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha. Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023. Tukilinganisha na Wenzetu Kenya wao wana maprofesa 1,619 Kwa...
  18. Zanzibar-Nyamwezi

    Uvivu wa Maprofesa na pombe, ndio chanzo cha DP World

    Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya. Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais...
  19. B

    Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  20. Boss la DP World

    Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo vya Tanzania ni bure kabisa

    Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu. Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
Back
Top Bottom