Penshen za Maprofesa zimekaaje?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,566
32,215
Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote.

1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni?

2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa?

3. Je baada ya kustaafu anaweza kumudu maisha Kwa kutegemea pensheni au ndo anageuka kero Kwa kuomba omba?

NB: wasomi tujuzeni sisi Ngombaru ili tuchague kipi cha kufanya kama tuendelee kusomesha watoto au wafanye ujasiriamali tu.
 
Attachments

  • IMG-20231216-WA0002.jpg
    IMG-20231216-WA0002.jpg
    83.6 KB · Views: 4
Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote.

1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni?

2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa?

3. Je baada ya kustaafu anaweza kumudu maisha Kwa kutegemea pensheni au ndo anageuka kero Kwa kuomba omba?

NB: wasomi tujuzeni sisi Ngombaru ili tuchague kipi cha kufanya kama tuendelee kusomesha watoto au wafanye ujasiriamali tu.
Siasani ndio kuna hela huko kwingine ni kama Watumishi wa kawaida tu.

Tz ukitaka kuogelea kwenye pesa na uzee wako usiwe na stress ingia kwenye siasa.

Ukishindwa siasa bora ufanye biashara tu.
 
Bongo kazi nzuri ni ubunge tu na Urais, kidogo na wateule wa Rais japo ni kazi za kubahatisha. Zingine zote zilizobaki ni mauzauza.

Wabunge wanakusanya pensheni ya M.270 baada ya miaka 5 bila kutumia kikokotoo wanachokisifia ni kizuri.

Rais na wateule wake kadhalika wanavuta chao mapema. Wewe profesa wa jalalani utasubiri sana.
 
Back
Top Bottom