Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja.
Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa?
'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi.
Kwa mujibu wa...
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru
na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa
Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25,
Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi.
Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi.
Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri.
Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes.
Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400.
#TunaImaninaSamia
#Hakunakinachosimama
#KaziInaendelea.
------...
Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi
Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea.
Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo.
Hayo yamesemwa leo na mkuu wa baraza la amani na usalama wa umoja huo Bankole Adeoye wakati kikao cha kila mwaka cha...
Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
====
Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Kuna tetesi za jeshi kumshikilia Rais na Waziri Mkuu wa Guinea-Bisau katika Mji Mkuu Bissau.
NB: Ni hivi karibuni jeshi liliipindua serikali ya nchi jirani ya Guinea-Conacry na sasa Guinea-Bissau wanajaribu.
===
Watu wawili wanasadikiwa kufariki katika Mji Mkuu wa Guinea-Bissau katika jaribio...
Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia.
Wanajeshi walimpindua Rais Kabore wakimlaumu kushindwa kudhibiti hali ya usalama ambayo imeendelea...
Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso
CHANZO CHA PICHA, ANADOLU AGENCY: Wanajeshi walioongoza mapinduzi Burkina Faso
Paul-Henri Sandaogo Damiba ndio kiongozi wa vuguvugu la Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration (MPSR).
Siku ya Jumatatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.