Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
SIMBA SC NA PRE SEASON 2021

Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha

Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho)

Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho)

Septemba 8, 2021 Simba SC 0-0 Coastal Union

Septemba 12, 2021 Simba SC 1-0 Fountain Gate (Sakho)

Septemba 14, 2021 Simba SC 2-1 Aigle Noirs (Kibu Denis, Benard Morrison)
 
Baada ya aziz ki kumaliza mpunga leo pre season haina maana mnakuja lini karatu mkuu.
 
Simba ilishawahi kuweka kambi Brazil mwezi mmoja kurudi Shamba la bibi aka kalia 2-0 dhidi ya Yanga.
Nendeni mnapoenda, AZZ K anawasubili Kwa Mkapa.
 
Simba ilishawahi kuweka kambi Brazil mwezi mmoja kurudi Shamba la bibi aka kalia 2-0 dhidi ya Yanga.
Nendeni mnapoenda, AZZ K anawasubili Kwa Mkapa.
kuna swali mnakataa kujibu , hiyo ratiba kuingiliana kumekuja ghafla? U genius wa senzo uko wapi sasa kama hajui ratiba ya miezi miwili mbele? hakumjua ratiba ya mechi ya stars na somalia? hamkujua ratiba ya caf? kwa nini booking iliwekwa turkey email ikatumwa tarehe 14 july matokeo yake mnatakiwa mlipe fidia ya millions 200 kuvunja makubaliano?
 
Sisi Yanga pre season tukuwa apaapa Tanzania, tukutane tarehe 13 tupimane ubavu, Na mwisho wa msimu tuangalie pre season yanani imelipa.
 
Usituletee makasiriko ya kushindwa kwenda Pre Season kisa Aziz Ki amewakausha mfukoni.
Haya Basi washindi wa pre season hongera, Ila kumbuka tarehe 13 August kichapo Kiko pale pale, hivyo jiandaeni kisaikolojia
 
kuna swali mnakataa kujibu , hiyo ratiba kuingiliana kumekuja ghafla? U genius wa senzo uko wapi sasa kama hajui ratiba ya miezi miwili mbele? hakumjua ratiba ya mechi ya stars na somalia? hamkujua ratiba ya caf? kwa nini booking iliwekwa turkey email ikatumwa tarehe 14 july matokeo yake mnatakiwa mlipe fidia ya millions 200 kuvunja makubaliano?
Haya Basi yaishe, hizo 200m tutalipa bakuli haijawahi kushindwa kitu, Ila hiyo haitobadilisha kichapo utakachopata hiyo 13 August. Jiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom